Kuna thread ziliandikwa humu kuhusu warithi watarajiwa wa CAG aliyeondoka Utuoh. Naona acting CAG ameonesha uwezo na spirit ileile ya CAG wa zamani. Ni vema jamaa akaachiwa nafasi.
Anaitwa Francis Mwakapalila,wazee wa National Audit wanamwita "dogo"!katika mazuri aliyoyafanya Utoh huyu bwana alikuwa nyuma!jamaa mzuri ila "mchumi",Utoh alijenga kwanza maslahi ya watumishi japo kidogo ila tuliridhika na kupiga kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.