Mpendwa wa CRB aliyetajwa na Serukamba ndio nani?

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,695
2,553
Jamani tusamehane wengine tunapendaga kwenda between lines jana Serukamba Bungeni amemtuhumu mpendwa wa CRB kutaka kazi ya REA Kigoma na Katavi mpaka kuipiga stop sababu mchakato ukampe upendeleo.

Kama kawa kama dawa JF paa la bati, manake jana nilisikia kwenye hotuba ya mafanikio ya miaka miwili katika miundo mbinu Mkuu kamsifia mwenyekiti wa CRB KWA DARAJA la mabatini mwanza ulikuwa mkutanoi wa mainjinia, vipi wadau ndio yeye au kuna tofauti. Manake kunakakikundi ka wateule wanapiga sana hela kipindi hiki kigumu kwa vile kusifiwa na mtukufu tu unakula shavu hatare.

Mie natupia hewani humu watu wafunguke manake dereva wa lorry anakotuelekeza sijui kama atattoka mtu salama katika lorry, ukiwa nje ya wateule utakoma manake huyu baba ukipishana nae tu unapasuka kwa bunduki, jela ukipona kama sio kutekwa na magenge yake au ukatupwe baharini hata ndugu zako wasikuzike.

Sie wengine maisha bora sasa hivi ni kuwa huru JF, tunasindikiza fungu dogo la wateule wapige pesa na kasi yao na tabia zao hawa jamaaa lazima miaka 10 haitawatosha, wataleta hila kujichimbia chini zaidi.
 
msukuma mwenzie
 
Back
Top Bottom