Mpendwa Rais, mimi sitasahau kumeza kidonge cha uzazi wa mpango

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
1536603333020.jpeg

1536606762476.jpeg

Mtukufu, kwa hali hiyo hapo juu mimi niatendelea kumeza kidonge cha uzazi wa mpango.
 
View attachment 862411

Mtukufu, kwa hali hiyo hapo juu mimi niatendelea kumeza kidonge cha uzazi wa mpango.
Tumeambiwa tutomba.. tu bila kinga wala uzazi wa mpango, atatusaidia kulea jamani.
Huyu ni mkuu wa nchi mwenye maono mabovu kabisa. Hivi hajui panya roads, watoto ombaomba nk ni mfano wa kifyatua bila mpango?
Elimu bure sio ndio ufumbuzi wa haya matatizo, aache ujinga.
 
ww ndio uache ujinga na mungu aliposema tuzaane tuijaze dunia una cha ku comment?
 
Back
Top Bottom