Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu).

Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours ili kupata 2 buckets.

Hali ni mbaya zaidi kwa akina mama. Hali ni mbaya sana kwa investors. This is a serious problem. Yawezekana watu wako wanakudanganya.

Please visit in person and act
Kwani hamkupata connection? maana wapinzani wamechelewesha sn
 
Kuweni na Subra Maji yatatoka Lake Victoria hadi Dodoma bado tunawaomba ndugu zetu Misri wakubali sababu ni yao.
 
Kuweni na Subra Maji yatatoka Lake Victoria hadi Dodoma bado tunawaomba ndugu zetu Misri wakubali sababu ni yao.
Watasubiri mpaka Yesu Kristo arudi maana Mwanza kwa Wasukuma wapiga kura hakuna maji, Mara pembeni mwa ziwa wanalia maji, Geita inakojengwa bandari ya kimataifa maji shida tupu labda wakazi wa Dodoma wahamie Shinyanga au Tabora vinginevyo wafuate upepo, ukivuma toka Chato wahamie huko, upepo ukitoka Dar pamoja na wa Kigamboni mita chache toka Ikulu wanalia shida ya maji, unganeni nao. Madege hayawezi kugeuzwa matangi ya maji kama ya mafuta?
 
Desalination plants kubwa zingeondoa upungufu wa maji kwa sehemu za serikali,maeneo ya watu wengi.
 
Back
Top Bottom