Mpendazoe kuweka wazi masuala ya kesi yake dhidi ya Mahanga Jumamosi


QUALITY

QUALITY

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
854
Likes
2
Points
0
QUALITY

QUALITY

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
854 2 0
Mpendazoe kuweka wazi masuala ya kesi yake dhidi ya Mahanga Jumamosi

Ndugu zangu wote katika JF, mmekuwa mnakumbuka kuwa nimekuwa nawafahamisha kuhusu kesi aliyofungua Mpendazoe dhidi ya Mahanga kwa niaba ya wapiga kura wa jimbo la Segerea. Kwa wale wote mliopo Dar es Salaam na vitongoji vyake, na hasa wananchi wa jimbo la segerea mnataarifiwa kuwa ndugu yetu, Mpendazoe aliyekuwa mshindi katika uchaguzi huo anatarajia kuongea na wananchi kuwafahamisha yafuatayo:-
  1. Mwenendo wa kesi
  2. Uchangiaji wa fedha umefikia wapi?
  3. Hatua inayofuata katika kesi hiyo.

Mkutano utafanyika viwanja vya Tabata Liwiti siku ya Jumamosi 11/12/2010 kuanzia saa tisa alasiri (bara bara ya kwenda Segerea). Kufika, panda basi linalokwenda Segerea, shuka Liwiti au endesha gari kama unaenda Segerea, kiwanja cha Liwiti kiko barabarani karibu na kanisa katoliki.

Wote mnaombwa kufika. Fika na wenzako angalau watano.

Kumbuka huu siyo mkutano wa wanachama wa CHADEMA bali wa watanzania wote hasa wapenda haki. Karibu sana.

:frown:
 
Nzi

Nzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
13,664
Likes
5,636
Points
280
Nzi

Nzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
13,664 5,636 280
Asante kwa taarifa.
 

Forum statistics

Threads 1,235,878
Members 474,779
Posts 29,239,300