Mpendazoe amekata mzizi wa fitina kwenye kitabu chake TUTASHINDA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpendazoe amekata mzizi wa fitina kwenye kitabu chake TUTASHINDA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgheni amani, Jun 22, 2011.

 1. m

  mgheni amani Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau kile kitabu cha mpiganaji mmekiona? jamaa zile tetesi za ccj sasa humu ndio ameeleza kila kitu namna Sita.Mwakiyembe.Nape.Makonda walivyoshiriki kuasisi ccj na baadae wakawakana wenzao kwa ahadi ya madaraka hapa Mpendazoe ameeleza kila kitu na kuweka wazi mambo yote.Pia nimempongeza kaweka juu ya jalada makamanda wakiwa kwenye mapambano. kitafuteni muene ukweli ulivyo mimi ndio nimakimaliza kukisoma
   
 2. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Duu, ngoja tukifukuzie hicho kitabu. Usaliti mbaya sana ule.
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kinapatikana wapi pls?
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anahangaika kutafuta hela ya kula huyo kaona aingie kwenye uandishi wa vitabu maana hali imemzidia nyumba yake ya pale kijichi ameshauza
   
 5. Tumaini Jipya

  Tumaini Jipya JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Heri yake anayekula kwa Kalamu ya Uandishi kuliko wanaokula hela za kodi za Masikini!!!!!!!
   
 6. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ...... Sikuwa nafahamu kuwa kuna watu hawapaswi kuhangaika kutafauta hela ya kula! JF kiboko
   
 7. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sawa marketing manager tutakitafuta ili upate ngawira.
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Na wewe si unajua kusoma na kuandika? Kwani wewe hutaki hela? Tunga na wewe ule mahela.
   
 9. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sasa unadhani akaibe? kama ubunge kaukosa na sidhani kama amepewa cheo chochote cha kumega ruzuku zaidi ya per diem za maandamano na nadhani kwa sasa maandamano hakuna mwachie na yeye ajitafutie jamani mbaya angeiba!
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hicho kitabu kinalipa kweli si bora angetunga kitabu cha hadithi za bulicheka na mke wake Elizabeti
   
 11. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mimi nimekisoma pia, ni kitabu kizuri sana, na nimejifunza mengi. Dibaji yake imeandikwa na Dr Slaa.
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni kuganga njaa tu na watu wachache wanaodhani kwamba hiyo ni news ndiyo watakibabaikia. Jamaa anaonyesha hasira zake kwa kile ambacho kilimfanya yeye akaingia mkenge wa kujiondoa kwenye ubunge. Katika dunia ya demokrasia mimi sioni kama kuna hoja ya msingi kwa mtu kufikiria kukihama chama, maana hata Nyerere ilifika wakati akataka kuhama CCM alipoona kuna mambo hayaendi vizuri. Akatamka kwamba CCM siyo baba na mama yangu.

  Hata mwaka 2005 kulikuwa na habari kwamba wanamtandao walikuwa wanafikiria kuhama chama kama JK angekuwa rigged katika kinyang'anyiro cha nomination. Mimi sioni dhambi ya hawa jamaa hasa wanapokuwa wamefikiria hivyo ili wasihusishwe na mafisadi ambao walikuwa wanawasukia njama ili wamwagwe kwenye kura za maoni za ubunge. Kinyume chake, mimi nauchukulia huo kama ushujaa maana hawa mafisadi pamoja na kukataliwa wazi na CCM hawajathubutu kufikiria kuondoka kwa sababu walijua wasingepata ufuasi.
   
 13. m

  mgheni amani Member

  #13
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inapendeza kufanya kazi ya uwakala wa magamba ila ipo siku mtakula na kulala bila ridhaa zenu Watanzani wameamka kuchukua kila kilicho chao usiku unakaribia kwishwa laiti ningaliweza ningeurefusha ila Watanzani wapo mlangoni wanataka nchi yao waliomkabidhi Nyerere lakina amewaachia wasio na huruma
   
 14. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kinapatikana wap?
   
 15. a

  andry surlbaran Senior Member

  #15
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha au angeandika story za gagagigikoko
   
 16. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mwambene , Membe anafanya press conference lini? Kitabu hiki kinapatikana wap?
   
 17. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  l.u.n.a.t.i.c
   
 18. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na nina imani kuwa KIKWETE atakuwa amewekewa hicho kitabu mezani ili apate kusoma na kupata full story.
   
 19. Alwatan

  Alwatan JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tujiulize je kuna uthibitisho wa ushiriki wao hao anaowataja humo kama washiriki wenzake wa kuanzisha CCJ?

  Na kubwa zaidi, kwani kuna uasi gani wa mtu huru kufikiria kuhama chama hasa kukiwa na sababu za msingi kama chama chenyewe kuacha
  misingi ya uanzishwaji wake na kuwa chama cha kukumbatia ufisadi na mafisadi?

  Usaliti ni kufikiria kuhama chama huku chama kikiwa kimebaki kwenye misingi yake ya uanzishwaji wake. CCM kama kweli wana nia ya kujiinua
  japo ni kama wamechelewa ni kuwafyeka mafisadi wote kuanzia kwenye taifa mpaka mashina.
   
 20. maulaga

  maulaga JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 472
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe hujui sheria ya hatimiliki? kwani hujui kuwa hadithi ya Bulicheka na Elizabeti ilisha andikwa siku nyingi na mwenye hadithi anahatimiliki?
   
Loading...