Elections 2010 Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema SLAA

The Informer

Senior Member
Jun 14, 2010
119
29
Katika mkutano wake na waandishi wa habari Dar leo alipoitaka NEC iache kutangaza matokeo yaliyochakachuliwa ya Urais, Willbrod Slaa, alitoboa siri kuwa Mpendazoe alipata ushindi wa kura 56,962 jimboni Segerea. Makongoro Mahanga wa CCM alipata kura 43,904.

Ushahidi wa idadi hizi za kura upo kwenye fomu za matokeo ya kura kutoka vituo vya jimbo hilo. Baada ya usalama kuchakachua matokeo, wakaja na matokeo ya kupika yanayo onesha hivi:

Makongoro Mahanga - 43,839

Fred Mpendazoe - 39,639

Huu ndio wizi wa wazi unaofanywa na CCM halafu wanasema Kikwete na chama chake wanashinda kwa kishindo!
 
Kwa style hii CCM haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani CCM. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na CCM pia wataendelea na utaratibu wao huu.

Something MUST be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama Kenya ili heshima irudi. Yes, I SAID it
 
slaa anafanya kazi ngapi kwani yeye alikuwa wakala segerea mfa maji haachi......ccmoyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nina imanu Mungu aliyewahi kusimamisha jua ili awashughuliye wapuuzi, atafanya jambo kubwa sana ndani ya nchi hii; tumetimiza wajibu wetu kama raia wema kilichobaki ni yeye kupigana.
 
NIlikuwa sifahamu au sijui ni kwa nini au hisia gani watu wanazipata au mtu kafanyiwa nini mpaka anaamua kujilipua SASA WADAU WA JF najua uchungu anaoupata mtu aliyedhulumiwa hadi kujilipua. Hii nchi soon itabadilika haitakuwa na hii AMANI YA KINAFIKI ya DHULUMA.
 
Nyambari uu bogas kiasi icho ulimwengu huu unauliza swali kama ilo wakati Slaa anapata mpaka signed docs za ikulu
 
Kwa style hii CCM haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani CCM. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na CCM pia wataendelea na utaratibu wao huu.

Something MUST be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama Kenya ili heshima irudi. Yes, I SAID it
Hili ni neno. Amani haiji bila ncha ya upanga. Kenya Rwanda ni mifano mizuri japo utasikia watu wanasema wana amani. Amani my black behind!
 
Katika mkutano wake na waandishi wa habari Dar leo alipoitaka NEC iache kutangaza matokeo yaliyochakachuliwa ya Urais, Willbrod Slaa, alitoboa siri kuwa Mpendazoe alipata ushindi wa kura 56,962 jimboni Segerea. Makongoro Mahanga wa CCM alipata kura 43,904.

Ushahidi wa idadi hizi za kura upo kwenye fomu za matokeo ya kura kutoka vituo vya jimbo hilo. Baada ya usalama kuchakachua matokeo, wakaja na matokeo ya kupika yanayo onesha hivi:

Makongoro Mahanga - 43,839

Fred Mpendazoe - 39,639

Huu ndio wizi wa wazi unaofanywa na CCM halafu wanasema Kikwete na chama chake wanashinda kwa kishindo!

Kumbe una facts si uende mahakamani... Dr. Slaa mbona unataka kutuyumbisha bila sababu za maana.
 
uchaguzi wetu umegharimiwa kwa kiasi kikubwa na EU, cha kufanya tuwapelekee taarifa hizi walipa kodi wa EU kupitia kwa wabunge wao ili moto uwake tz as well as nchi za EU.
 
MAHAKAMa zilizo chini ya yule jaji mkuu aliyetupilia mbali kesi ya mgombea binafsi bila hoja za msingi .. nina wasiwasi nazo...

aliyesoma kitabu cha KULI, mwandishi alimalizia kwa kusema "YANA MWISHO".

na mimi nasema yana mwisho.. wapambanaji na wanamageuzi tusikate tamaa!! naomba hii iwe chachu kwa watu wote tuweze kupambana kwa umoja wetu..
 
Kwa style hii CCM haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani CCM. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na CCM pia wataendelea na utaratibu wao huu.

Something MUST be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama Kenya ili heshima irudi. Yes, I SAID it
Mkuu, najua umeudhika sana kama mimi na nimekugongea kasenki hapo juu lakini hapo kwenye nyekundu... mmm hapana.
Embu imagine panga liangukie kwenye kichwa cha kale ka-last born kako unakokapenda sana na kukimega katikati vpiande viwili.
Just imagine!
 
Katika mkutano wake na waandishi wa habari Dar leo alipoitaka NEC iache kutangaza matokeo yaliyochakachuliwa ya Urais, Willbrod Slaa, alitoboa siri kuwa Mpendazoe alipata ushindi wa kura 56,962 jimboni Segerea. Makongoro Mahanga wa CCM alipata kura 43,904.

Ushahidi wa idadi hizi za kura upo kwenye fomu za matokeo ya kura kutoka vituo vya jimbo hilo. Baada ya usalama kuchakachua matokeo, wakaja na matokeo ya kupika yanayo onesha hivi:

Makongoro Mahanga - 43,839

Fred Mpendazoe - 39,639

Huu ndio wizi wa wazi unaofanywa na CCM halafu wanasema Kikwete na chama chake wanashinda kwa kishindo!

Kwani vipi? beki za mpendezoa zililala nini? teeee siasa za Africa nzuri sana
 
:bowl:Kuna siku Umma utasema Tumechoka sijui watakimbilia wapi:bowl:

Umma upi?
Umma ni wanachama wa vyama tofauti vya siasa. Wanaokinzana wakisema wamechoka, itakuwaje?

Tuache kauli za uchochezi. Kuna maisha baada ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom