Mpendazoe afunika mdahalo wa wagombea jimbo la segerea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpendazoe afunika mdahalo wa wagombea jimbo la segerea

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by nyamate, Oct 8, 2010.

 1. n

  nyamate Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo kulikuwa na mdahalo wa wagombea wa ubunge jimbo la segerea,wagombea waliobahatika kuhudhuria ni wa TLP,CUF na CHADEMA.
  Waliousikiliza kupitia wapo radio ni mashahidi zangu MPENDAZOE yuko makini.Nikipata picha nitawawekea mkanda mzima.
   
 2. K

  King kingo JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mumpe na kura zenu kama na wewe ni wa segerea..
   
 3. n

  nyamate Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ataipata mpaka ya housemaid wangu.
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Ukweli ni kuwa ukiondoa kuchakachua matokeo Dar yote ni Chadema CCM na CUF wataambulia madiwani tu
   
 5. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kwa kugangamala mazee!! Bila hivyo, wakina Shimbo na wenzake watavunja watu nyonga kuahahkikisha mkulu anarudi Magogoni.:llama:
   
Loading...