TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

Wakuu, huyu bwana alikuwa miongoni mwa viongozi wa juu waliopeleka taarifa ya pelelezi mbalimbali za tuhuma wakati wa kukabidhi ripoti kuu ya PCCB ya mwaka 2019/2020. Leo hii hatunaye baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Aliyezungushiwa alama ni yeye akiwa pamoja na waziri mkuu wakati huu wa mapambano ya COVID 19.

Alale salama
View attachment 1442868
Mkuu inabidi Chadema wakupe kitengo cha rambirambi

Rip mpelelezi mkuu!
 
Pole sana kwa wafiwa. Prime Minister achukue tahadhari maana kuna watu kadhaa amekutana nao karibuni na sasa wamefariki.

Kama ni siku zao zilifika basi haina shida ila kama ni COVID 19, apunguze kukutana na watu kama anavyofanya sasa.
Kwanini anatangulizwa mbele kila siku? Au ndio kile kisa cha "Mke ww Uria" cha kwenye Bible??
 
Daaah, kweli K. Majaliwa inabidi ajiangalie sana, kwani haoni mkuu wake kajificha Chato.. Nae aende kwao huko Nnacho Lindi huku mjini halo ni tete.. Tunakupenda sana watu wa kusini, tunakupenda wtanzani P.M wetu​
 
kweli watu wanakatika wanazengo....mi nataka kuhama nchi sasa...
 
Back
Top Bottom