Mpelelezi John Vata na jasusi Honda ndani ya Urithi wa Gaidi

Asee chana na wapenda sifa Dunia ni kunawatu wanaopenda kubeza kazi za wengine sasa usiwasikilize twende kazi mkuu
NASITISHA RIWAYA HII ILI KUEPUKA MIGOGORO ISIOKUWA YA LAZIMA.

YEYOTE ALIEKUWA AMEVUTIWA NA RIWAYA HII, BASI NAOMBA AINGOJEE KATIKA MTINDO MWINGINE BILA KUATHIRI MTINDO WA KWANZA ULIOKUFANYA UKAIPENDA.

PIA KUSITISHWA KWAKE KUNAWEZA KUWA KUMEKUKWAZA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE, BASI NISAMEHENI.
LAKINI PIA WALE AMBAO HAWAKUPENDEZWA NA MAWAZO YANGU, BASI NAO WANISAMEHE.

WALE WALIOKUJA KATIKA UZI HUU NA KUNIKEJELI NIMEWASEMEHE,NITAENDELEA KUPITA NJIA ZANGU BILA KUWAINGILIA KATIKA NJIA ZENU.

NIMEWASAMEHE NANYI NISAMEHENI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitakiwa umtafute TUWA sio UWARIDI....ulichofanya ni kosa la kuiba wahusika ambao mwandishi mwingine ametumia muda, ubinifu, na umakini mkubwa kuwaumba na kuwajenga.Ile hakimiliki ya riwaya inahusisha na hao wahusika wote ndani ya riwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni uzyumbu kuku nyie kwani Dunia ni kuna majina ya wahusika wenu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom