Mpe mimba mpenzi wako iwe kama kishika uchumba, kama kweli unampenda

Ni ujinga kwa mwanamke kukubali mimba kabla ya ndoa wengi wameachwa solemba na kuishia kuwa SINGO MAZA isomeke single mother baada ya njemba kuingia mitini.
Kwa wale wanaume wenzangu mliopo katika mahusiano ya muda mrefu na mnawapenda sana wapenzi wenu na hamtaki kuwapoteza basi tieni mimba hao wachumba zenu kama vishika uchumba mtoto akizaliwa mtajua mtaleaje.

Haya mambo ya kupeleka barua sijui posa sijui nyumbani kwao wanaitambua kwetu wanamjua yameshapitwa na wakati kama hujatia mimba bado uyo sio wako muda wowote wenzako wanaweza kukupikuu.

 
Haya ni mawazo ya vijana ambao wamebahatika kuwa na mahusiano na wanawake warembo alafu chumi zao zinayumba na hawana vipato vya uhakika.......hali ambayo inapelekea kutojiamini........

Wasichojua ni kwamba karne hii hakuna mwanamke anayepewa mimba kama mbuzi.........
Ila kweli aisee.. ukidate na mwanamke mzuri.. unahisi kama utaachwa.. so option pekee ni kupiga mimba
 
Naunga mkono hoja kama una nia ya kumuoa na umeshatumia gharama nyingi kumuhudumia huyo ukiweka mimba utakuwa hata haujakosea
 
Umeandika kibinafsi kweli, vip na upande wa binti yeye anaweka nn ili kama dhamana ya kushika uchumba kwako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom