Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,379
Wewe huyo??Zipi? Au huyu kiumbe aliyeko tumboni?
Wewe huyo??Zipi? Au huyu kiumbe aliyeko tumboni?
AbeeEti????
Najua unajua vile nakupenda.
Mito, milima na mabonde vinatutenganisha na vinakuunganisha na mwingine ila niataendelea kukupenda daima.
Kweli sio vizuri, ngoja nifinge milangoSure kwa tunavyokorofishana anahisi ujue, njoo tulale asikie kumbatio la baba yake
Wewe huyo??
Hicho kumbe tumboni, dada yako anajua???Abee
Hajui naomba usimwambieHicho kumbe tumboni, dada yako anajua???
Okey ntakufichia siri, siwezi kumwambia Heaven SentHajui naomba usimwambie
Okey ntakufichia siri, siwezi kumwambia Heaven Sent
Nini tena?? Siwezi mwambia usijali
Mnacomment Juu Hapo Kwenye Kichwa Cha UziAmbao hatujawahi kuwapenda watu tusio na uwezo wa kuwapata tunacomment wapi!!
Nini tena?? Siwezi mwambia usijali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Au ndio zile, mimi hata simwambii mama kuwa umekula kwa watu, na mama yupo hapo hapo
Hichi kichwa kichafu kweliMnacomment Juu Hapo Kwenye Kichwa Cha Uzi
Naona ndio unachofanya wewe hapa
Usiogope love nitamweka sawa shemeji yanguHajui naomba usimwambie
Siwezi kukusnitch mahabuba wangu, si unajua venye nakufeelKwa hiyo unanisnich?
Mimi sikuwa na ndoto kabisa, niliweka vigezo vimefanya kazi, maisha yanasonga....Mwaanngu Niamni mimi watu wengi tuko na wapenzi wetu hawa kwa sababu wale wa ndoto zetu hatujawapata!
mwanamke akiwa na elimu na pia mwenye khofu na mungu, basi ujue utakuwa na famalia nzuri sana japo wewe baba usiwe zuzu kabisa....Ungekuwa na uwezo zaidi ya huo ungetaka mwenye vigezo zaidi ya huyo!