Mpe maneno kadhaa yule mtu ambaye unajua huwezi kuwa naye kimapenzi!

BX najua unanipenda sana nami pia nakupenda,lakini hatuwezi kuishi pamoja kutokana na sababu ambazo ziko nje ya uwezo wangu, ila ukipenda nitaweza kuwa mzazi mwenzako na nitahudumia vitu vyote vya muhimu kama italazimika kuwa hivyo.
 
Mm kuna mtoto mmoja mkali vibaya mnooo!
NAOMBENI WOTE TUSIMAME KWA HESHIMA YA UZURI WAKE...

OK TUKAE
Huyo ndio anashikilia rekodi ya demu mkali kuwahi kumuona kwa macho

Kwa sasa nina uhakika nina percent 0.000005 ya kumpata lkn i believe one day yes mambo yatakaa poa, hata kama atakuwa wapi nitamfuata
Hata Ulaya na Marekani
Labda kuzimu!
Sasa hivi nasaka dollar tu maana aliwahi kuniambia saka dola
Jamani nampenda jamani
Jf
Nimepeendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Asanteni
I LOVE YOU S...

NB: hata akiolewa ni wangu tuuuu!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom