Mpe maneno kadhaa yule mtu ambaye unajua huwezi kuwa naye kimapenzi!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Natumai pasaka inaenda poa Hapo ulipo..

Ni kawaida Kwa binadamu kuwa na hisia na mtu ambaye hawezi kuwa wake..hata iwe vipi..

Mimi Kuna mwanamke mmoja nampenda Kinoma..ila hawezi kuwa wangu..Nina uhakika na Hili..

Tutumie Uzi Huu kuwapa machache juu ya hisia zetu juu Yao

Mimi Naanza.. Kuna huyu mwanamke nilikuwa Naishi naye jirani nilitokea kumpenda Sana ila haikuwezekana kuwa wangu.. Maneno yangu machache Kwake.. ni kwamba "Nampenda hata kesho..Nitakupenda Mpaka Katika ulimwengu Ujao mama!"

Je Una lipi la kumwambia Yule Mtu ambaye unajua kabisa Huwezi kuwa nae

Tuendelee Kunywa taratibu

Khan!
 
mimi namuambia yule nimpendae ila sitakuja kuwa nae kuwa, nampenda sana sana, tena yeye ndio mtu wa kwanza kumpenda, namuombea mungu ampe maisha ya baraka na ya furaha na afurahie yeyote atakayekuwa nae na waishi kwa mafanikio, ila sitaacha kumpenda yupo moyoni mwangu.
 
Natumai pasaka inaenda poa Hapo ulipo..

Ni kawaida Kwa binadamu kuwa na hisia na mtu ambaye hawezi kuwa wake..hata iwe vipi..

Mimi Kuna mwanamke mmoja nampenda Kinoma..ila hawezi kuwa wangu..Nina uhakika na Hili..

Tutumie Uzi Huu kuwapa machache juu ya hisia zetu juu Yao

Mimi Naanza.. Kuna huyu mwanamke nilikuwa Naishi naye jirani nilitokea kumpenda Sana ila haikuwezekana kuwa wangu.. Maneno yangu machache Kwake.. ni kwamba "Nampenda hata kesho..Nitakupenda Mpaka Katika ulimwengu Ujao mama!"

Je Una lipi la kumwambia Yule Mtu ambaye unajua kabisa Huwezi kuwa nae

Tuendelee Kunywa taratibu

Khan!

Binafsi yangu hakuna mwanamke nitakae mpenda nishindwe kumpata.. illa huwa nawapotezea kwa ababu, ukiwaendekeza unaotaza muda wa kufanya shuhuli zako....
 
Ni kweli mkuu.. Ila unaweza kimpenda asipoteze muda wako

Back
Top Bottom