Mpasuko ccm tawi la magadirisho vs mkutano wa chadema jumamosi 11:08:2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpasuko ccm tawi la magadirisho vs mkutano wa chadema jumamosi 11:08:2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emashilla, Aug 9, 2012.

 1. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TANGAZO LA MKUTANO CHADEMA TAWI LA MAGADIRISHO, USA-RIVER, ARUSHA, TANZANIA

  View attachment 61373

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo tawi la Magadirisho na Kata ya Usa-River, mkoa wa Arusha,Tanzania inawatangazia wakazi wa magadirisho, usa-river, na maeneo ya jirani na watu wote kuhudhuria kwenye mkutano mkubwa wa hadhara

  Mahali: Magadirisho, kiwanja cha sokoni

  Siku: Jumamosi , tarehe: 11.08.2012

  Muda: Kuanzia saa 7 mchana

  Tunaendeleza kauli mbiu yetu ya"vua gamba vaa gwanda" na Mabadiliko-Movement for Change(m4c)

  Watakaorudisha kadi za vyama vingine wanakaribishwa

  Chadema - Nguvu ya Umma , People's Power

  Na: M/Kiti wa Tawi CHADEMA Magadirisho, Usa-River
   
Loading...