Mpango wangu wa kuoa ni miaka 7-10 ijayo, Je ataweza kusubiri?

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,651
Niko na binti mmoja ana miaka 18 na nimemzidi miaka minne sasa huyu mtoto yupo advance anadai ananipenda kweli na mimi pia vivi hivo.

Lakini ishu ni kwamba uyu binti anatakaa mimi ndo nimuoe na amen'gan'gana kweli kweli basi mimi nimemkubalia tu kwamba ndio mimi nitakuoa ila katika fikra zangu nikiona kabisa its imposible kumuoa maana mimi kuoa kwangu ni mpaka 7 to 10 years to come.

Japo pia ingekuwa heko ningeweza kumuoa huyu mwanadada lakini sina imani kabisa kama eti mwanamke anaweza kuwa mchumba wako kwa miaka 7 hadi 10 msichokane.

Ni fikra zangu tu hizo sasa nyinyi wana MMU embu nijuzeni je kweli inawezekana yeye akavumilia na mimi nikavumilia kwa 7 -10 years tukaoana?


Thanks in Regards!
 
Mwanamke anaweza kuwa mchumba kwa miaka hiyo kama kapenda kweli ila kwa mwanaume ... Mmmh ... Labda hanisi
 
Niko na binti mmoja ana miaka 18 na nimemzidi miaka minne sasa huyu mtoto yupo advance anadai ananipenda kweli na mimi pia vivi hivo!
Lakini ishu ni kwamba uyu binti anatakaa mimi ndo nimuoe na amen'gan'gana kweli kweli basi mimi nimemkubalia tyu kwamba ndio mimi ntakuoa ila katika fikra zangu nikiona kabisa its imposible kumuoa maana mimi kuoa kwangu ni mpaka 7 to 10 years to come!
Japo pia ingekuwa Heko ningeweza kumuoa huyu mwanadada lakini sina imani kabisa kama eti mwanamke anaweza kuwa mchumba wako kwa miaka 7 hadi 10 msichokane!
Ni fikra zangu tu hizo sasa nyinyi wana MMU embu Nijuzeni Je kweli inawezekana yeye akavumilia na mimi nikavumilia kwa 7 -10 years tukaoana?

Thanks in Regards!
Mke wa kumuoa wewe bado hajazaliwa.
Chapa ilale!

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Watoto wadogo wanawaza ndoa. Tafuteni kwanza maisha ya kujitegemea. Binti wa miaka 18 hata mazivu bado hayajaonekana vizuri yapo kama unyoya laini laini anawazaje kuolewa!
 
una miaka 22 na sidhani kama una kazi halafu unajikuta unamdhihaki huyo bint eti "anang,ang,ana kweli kweli"
Dogo We unafanana na mawazo ya muhenga aliyesema
"usikimbilie kuvaa jinzi kabla hujavaa bambino"
 
We naona miaka 30 ya kwenda kunyea ndoo itakuhusu muda si mrefu

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Kama anakupenda kweli atakusubiria...ili mradi asilazimishe japokuwa yataka moyo miaka 7-10??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom