Mpango wa shirika la nyumba kuuza nyumba si wa mafisadi kujichukulia kwa ridhaa yetu?

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
409
0
Wanabodi
Ninaomba kusahishwa kwa mawazo yaliyoteka ufahamu wangu kama sivyo.
Shirika la nyumba lilianzishwa kwa lengo la Serikali uwezo iliyo nayo kujenga nyumba kwa ajili ya kuzikodisha tena kwa kodi ya chini kuwasaidia watanzania kuweza kuishi. Pia wafanyakaz wa serikali walinufaika nazo kama makaz na nyingine zilikodishwa au kutumika kama office.
Huu mpango wa kulifanya shirika lijenge nyumba si kwa kutumia wajenzi kama JKT na punguzo maalumu la vifaa vya ujenzi kwa kuondoa kodi au viwanda kuwezesha serikali kujeng makaz ya watanzania. Badala yake NHC Kujitegemea na kutumia wajenzi wasio wa mashirika au taasisi za umma. Kwa kutumia aridhi iliyotengwa zamani sasa ni ya thamani eg ya ubungo, masaki, nk. Na sio maneo mpya kuijenga za kuuza kwa watu binafsi na sio kukodishwa au office. Jiulize watanzania watamudu bei za hizo nyumba kweli?
Jamani sio mpango wa mafisad kujimilikisha hasa za maeneo Potential kwa siye kupumbazwa unaweza kuzinunua? mtanikumbuka Ni za vigogo au ndugu zao na mafisadi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom