rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
wakuu nafikiria jinsi ambavyo tunaweza kuunganisha makampuni ya wazawa na kuyaweka kwenye database moja
hii itasaidia pale ambapo serikali inatafuta kampuni za kufanya nayo biashara
tukumbuke hizi fedha wanazolipwa makampuni ya kimataifa hasa ya kikenya na kichina ni zetu watanzania
kwa kweli kitendo cha makampuni ya kigeni kuchukua 80% ya kazi hapa tanzania ni aibu kubwa
hivi ni kweli hatuwezi au ni rushwa inatumika??
makampuni yote ya wageni inabidi yafanye kazi chini ya wazwa,
kama serikali ya ccm inabisha hilo tunawapa miaka 4 itawezeka!!!