mpango wa kumsafisha mtasiwa waandaliwa

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
hizi ni habari nyepesi nyepesi kutoka jikoni.lakini nasubiri kuzithibitisha......
nawatakia usiku mwema na tafakari njema.
 
Huyu ni mbaya kuliko Blandina Nyoni kwa kuwa yeye ndiye alipaswa kuwa wa kwanza kutetea madaktari kwa vile ndiye technical officer. Lakini kwa vile Blandina Nyoni alishamwingiza kwenye michongo ya hela za Kampuni ya Ranger ile iliyoleta Bajaj basi naye akabweteka na kuwadharau madaktari. Akisafishwa tu Deo Mtasiwa tunaweka vifaa chini.
 
Back
Top Bottom