Mpango wa kummaliza Dr. Slaa sasa umeiva na kazi imeanza kutekelezwa

Mambo ndani ya usalama sasa yanakwenda vibaya,mpango wa kummaliza kabisa Dr Slaa umeiva.

.....

Kundi la pili ni lile la wachawi waliotaka kumuua Mwakyembe kipindi fulani.

kwanza chanzo cha habari
pili hapo mwenye red juu kabisa dadvua tafadhali
tatu uchawi? una hakika kuwa uchawi ndio ulifanywa katika sakata la mwakyembe nani kathibitisha kuwa ilikuwa uchawi mkuu?
 
unaitwa nani wewe.... haya mambo yako duniani kote nchi zote ndo yanayofanya nchi zote usa uk urusi etc mambo yaende vyema....tumemchoka huyuu mtu slaa kila kitu kinachofanywa serikali ni kibaya hana zuri ambalo serikali imefanya.. atakuja hata kupinga ujenzi wa daraja ,usafiri wa rail mabus yaendayo kasi atakuambiwa hakuna kitu kinachofanyika.......
 
Hivi huyo dr slaa ana umuhimu gani katika nchi hii mpaka watu wapoteze muda wao kummaliza ! aaah upuuuuuzi
Ni kweli kwamba hujui umuhimu wa Dr Slaa katika nchi hii au ni ushabiki tu kwa kisiasa unakufanya usitumie hata busara kidogo?
 
kwanza chanzo cha habari
pili hapo mwenye red juu kabisa dadvua tafadhali
tatu uchawi? una hakika kuwa uchawi ndio ulifanywa katika sakata la mwakyembe nani kathibitisha kuwa ilikuwa uchawi mkuu?
We unaamini habari ikianzia wapi? Coz hata media pia wanaotoa habari ni watu.
 
Kwa watu wakini hutakiwi kudharau kitu chochote.
Hata kichaa anayeokota makopo jalalani usimwani kwa haraka haraka kuwa ni kichaa.
Ni vema uslama wa taifa walio na mapenzi mema kwa taifa hili wakalifanyia kazi hili na mwisho kuota taarifa ya jinsi ya kupambana na mbinu hizi kwa wahusika. Naamini kwajinsi ulivyoleta taarifa hizi hutasita kutoa taarifa kila mara kwa wahusika ili waweze kuwa salama.

Lakini pia ikumbukwe kuwa tatizo hapa si Dr Slaa kama wanavyodhani. Tatizo ni wao walioacha misingi bora ya uongozi na utawala na kusababisha taabu na shida kwa wananchi. Na hivyo wananchi wanamwangalia yule atakaye warudisha kwenye njia iliyo salama. Na hapa ikumbukwe kuwa watanzania si wajinga tena. Wanajua kila kitu na kila mbinu na hivyo hawadanganyiki tena.

Kitendo cha kuwaondoa watu kama Dr Slaa kwanjia yoyote kitasabaisha maafa ambayo pengine hayajwahi kutokea nchi hii na nchi za jirani. Siwezi kuwa na uhakika sana lakini najua hivyo. Na hata hao wanaodhani kuwa sasa watakuwa salama watambue kuwa wao na familia zao hawatakuwa salama hapa duniani. Namshukuru mtoa taarifa kwa kutupatia namba ya gari, nyumba anayokaa na hata aeneo anayo fanyia kazi huo mtesaji mkuu. Hii maana yake ni kwamba hakuna aliye salama ni suala la muda tu.
 
Sina mengi ila nataka kuwakumbusha maneno ya wahenga kwamba lisemalwo lipo na kama halipo laja
 
We unaamini habari ikianzia wapi? Coz hata media pia wanaotoa habari ni watu.

sote tunajua sio kila chanzo cha habari kinaaminika, anaweza akawa kaambiwa na rafiki yake ambaye naye kasikia tetesi kwani hakuna supportive docs zozote.
 
Back
Top Bottom