Mpango wa kummaliza Dr. Slaa sasa umeiva na kazi imeanza kutekelezwa

Hii ni kali ya mwaka, wamuue kwa uchawi? Wakisha mmaliza kwa ndumba,UN wataunda tume ifanye uchunguzi na itaongozwa na yule mchawi wa Obama anae ishi white house.
kama huamini rais huyu anaamini uchawi kuliko hata dini yake. Hawa watu wanachokifanya ni vile mkuu wao anavyopenda ionekane hata kama watatumia njia nyingine ya mauji lakini wakimwambia uchawi ndio umefanikisha ...he will feel so good. wanajua vyema weakness zake....he is witch...actually "murderer".
 
Atauliwa na kihoro cha kuwatoa watoto wa wenziwe kafara!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hawataweza.Dr.Slaa analindwa na Mungu kwa ajili ya ukombozi wa Tanzania. Mama Josephine,ondoa wasiwasi.Tupo wengi tu wa Usalama wa Taifa hapa Tanzania tunaompenda Dr.Slaa. Ighondu,mwanafunzi wangu pale Chuo cha Usalama wa Taifa Iringa,hatasumbua.Nitamdhibiti.
 
Updates:
  • Tumekuwa wagumu kukubaliana wakati mwingine.
  • Mnakumbuka ile post ya Riz1 kukamatwa na madawa China?
  • Chanzo cha habari hii: Msifikiri kila nayefanya kazi idara nyeti za juu huku anapenda yanayofanyika, wakati mwingine uvumilivu unaisha inabidi kuwawekea ukweli.
 
Hivi huyo dr slaa ana umuhimu gani katika nchi hii mpaka watu wapoteze muda wao kummaliza ! aaah upuuuuuzi
 
Kiyama yao imetimia.

Wasifikiri kuwa CDM ni Dr. Slaa tu. Ina vijana wengi machachari ambao wanajiunga kila kukicha na ni wasomi tupu. Siyo CCM yenye waokota makopo wa Tabata Dampo.

Wajitahidi labda wanaweza kuua Watanzania wote. CDM inapendwa na kila Mtanzania mpenda haki na amani.

"Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu."



profilepic 2012.JPG


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
DR slaa kimtizamo yupo dunia nzima ,wenye mawazo finyu ,Wasijidanganye ,kwanini mnaogpa vivuli vyenu ,kama makosa mmefanya basi na mtubu wananchi watawaelewa .kama ni kiburi chenu hakika yupo mwenye mamlaka anaekufanya wewe upumue ,umejificha kumbe waonekana ,una siri kumbe huna siri.
 
Back
Top Bottom