Mpango wa kuhujumu M4C na CHADEMA huu hapa - chukueni hatua..

Nadhani ni wakati muafaka wa kufikiri jinsi ya kuchukua hatua za kisheria juu ya hili jambo, kwani hapa ni sawa na kuwajengea chuki wananchi wenzao wa kabila la Kichaga. Kiasi kikubwa inaonekana kama Wachaga hawana haki vile ndani ya nchi hii. Unapochukua sulala la kisiasa na kulibandika juu ya kabila fulani, ni kutowatendea haki wanachi wa kabila husika.

Hii mbegu inayopandwa ni mbaya sana, na sijui itakapokutoa maua na punje hali itakuwa je! Lazima tupinge hii kwa nguvu zetu zote!
Mkanganyiko katika zoezi la sensa ni mavuno ya mbegu yaudini walioipanda CCM kwa manufaa yao bila kufiri matokeo yake MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Itakula kwake mazima.
iGUNGA CCM kushindwa ni kushindwa kwa Mwigulu si Dr Kafumu

Leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya Lumumba Kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa Lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo nimeamua niliweke hadharani kabla halijatokea kwani naamini kabisa kuwa lengo la mpango huu ni kuendelea kutugawa taifa kwa misingi ya Ukabila jambo ambalo sikubaliani nalo kama ambavyo ninapinga kugawa watanzania kwa misingi ya udini .

Mwigulu Nchemba , juzi jumatatu amechapisha tisheti zenye maandishi ya M4C – na ameweka maana kwenye hizo tisheti ambazo bado hazijaanza kugawanywa kuwa ni Movement 4 Chagga na ameweka maandishi makubwa kuwa changia Movement 4 Chagga (M4C), Zipo na zitaanza kugawanywa muda wowote .

Zoezi hili linaendena sambamba na operation ya Mwigulu ya kwenda Igunga eti kuelezea nini kilitokea mahakamani kwa wana Igunga , ziara hii imepangwa kuanza siku ya Jumamosi kwani alikuwa anasubiria FUSSO waliyonunua kwa shilingi milioni arobaini na tisa (49,000,000) na kuitengeneza kama za CDM ikamilike na walinunua vifaa Mlimani City tayari tangu wiki iliyopita.

Lengo la kuweka hapa ni kuwajulisha CDM wajue kuwa kuna mipango hiyo tayari imepangwa na inaendelea kutekelezwa , chukueni hatua .Aidha kuna vijana wenu watatu majina leo nayahifadhi wanafanya vikao vingi sana na Mwigulu na wa mwisho alipofika kwake wiki iliyopita alipewa shilingi laki nane , mara ya kwanza alipewa shilingi milioni tatu na huyu ametangaza rasmi kuwa atajiunga na CCM wakati wowote – fuatilieni waliogombea Bavicha na kushindwa na hata mmoja aliweza kushinda ila anawahujumu nyie CDM.

Sikubaliani na mipango ya kuligawa taifa kwa misingi ya Udini na Ukabila hivyo nitaipinga sana hata kama mtanijua LIWALO NA LIWE.

NI MIMI MPIGA FILIMBI-

Nijuavyo mimi vifupisho vya maneno haviwezi kubeba maana moja: Mfano CCM yaweza kutafasiriwa kama
CHAMA CHA MAPINDUZI
CHAMA CHA MAFISADI
CHUKUA CHAKO MAPEMA N.K

Je wanaokusudia kuleta maana tofauti na ile iliyokusudiwa na waasisi wa vifupisho hivyo si mpaka watushawishi kuamini vile vingine? Je watanzania wa leo wako kihivyo? Wanaweza kununuliwa na cheap politics za akina "Miguu Machela"?

CCM wanajidanganya wanaacha kujenga chama chao wanafuja hela kwa upuuzi wa kuifuatilia CHADEMA hii itawaghalimu.

Mwigulu amekosea tu hiyo ni m4c maana yake no movement for catholic.

UOMBEWE, kinachokusumbua ni PEPO TU: ukimuona SHEIKH ISSAH P utasaidiwa anaondoa mapepo na majini pia, na hata ukifika kwa MWINGILA nako utaombewa. ZINGATIA USHAURI ... kwani nchi hii ni yetu sote, tusibaguane

Mwigulu amekosea tu hiyo ni m4c maana yake no movement for catholic.

Akili yako imeingiliwa na kile ilichokalia. Hebu rudi kawaida kwanza. Watanzania hawataki akili yenye mawazo ya kizushi, kizandikikichochezi, kichonganishi na mufilisi kama haya.

Duuuuu yamekuwa hayo basi ni hatari sana naona jamaaa anaona mambo yameenda ndivyo sivyo kila kitu kimeharibika kabisaaaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

nimelikumbuka gazeti lililofungwa dah!!hizi taarifa ilibidi ziwe zimeandikwa mule kila mtanzania asome na aone

Naanza kuunganisha dots kuanzia matamshi ya juzi ya Nape na Wasira kuhusu CDM na tuhuma hizi kwa Mwigulu na vurugu za Polisi ktk mikutano ya CDM ktk mikoa ya Morogoro na Iringa. Kuna mchangiaji mmoja jana amedai mauaji na vurugu za Polisi ktk mikutano ya CDM inaratibiwa na Wasira na Mwingulu. Kwamba ndiyo wanaowashinikiza wakuu wa Polisi kuhakikisha mikutano ya CDM inahujumiwa.

UOMBEWE, kinachokusumbua ni PEPO TU: ukimuona SHEIKH ISSAH P utasaidiwa anaondoa mapepo na majini pia, na hata ukifika kwa MWINGILA nako utaombewa. ZINGATIA USHAURI ... kwani nchi hii ni yetu sote, tusibaguane
nakubalia na wewe ubaguzi haufai, lkn hayo yanatakiwa yaonekane kivitendo na sio kimaneno tu, nikuulize mbona cdm inamzonga sana zitto na sio Lissu, Mbowe, solaha, Mnyika au wengine wowote wale, ukinipa jibu kweli nitajua wewe unapinga ubaguzi vinginevyo utakuwa mnafiki. na tunakupotezea tu.

Naanza kuunganisha dots kuanzia matamshi ya juzi ya Nape na Wasira kuhusu CDM na tuhuma hizi kwa Mwigulu na vurugu za Polisi ktk mikutano ya CDM ktk mikoa ya Morogoro na Iringa. Kuna mchangiaji mmoja jana amedai mauaji na vurugu za Polisi ktk mikutano ya CDM inaratibiwa na Wasira na Mwingulu. Kwamba ndiyo wanaowashinikiza wakuu wa Polisi kuhakikisha mikutano ya CDM inahujumiwa.

Turudi nyuma na kukumbuka haya. Naona Mwigulu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM naye ameingia kuchangia, anaweza kuingia hapa na kujibu pia maswali yanayomhusu?

PM

Sasa naona mpaka Mwigulu Nchemba ameingia JF baada ya kuzuka kwa mvutano wa waCHADEMA, anaweza kuingia na hapa kujibu kwa ajili ya wanaCCM?

PM

Ingawa sina update za siasa zinavyoendeshwa ktk nchi nyingine duniani, lakini hizi siasa za CCM sidhani kama zina mshindani ktk sayari hii.....labda kuzimu ndio wanafanya huu uchafu.

Huyu asituletee usenge tutamtafuta popote kwa gharama tumfire kwa sasa tushachoka na haya maisha ngoja nina hasira na

i hate sera za CCM za kuua upinzani! wameshindwa kuvuana magamba wao kwa wao hadi mwenzao mmoja anasema gamba limeishia kiunoni kutoka labda kwa shoka sasa wanaua upinzani kwa njama za kishenzi! anyway Mungu asiye Athumani atawapiga kwa mapigo makuu!:tea:

Hapa kuna haja ya kushirikisha mashirika na taasisi husika za kimataifa. CCM wameshatufanya waTZ wangese hawa.

Back
Top Bottom