Mpango wa kuhujumu M4C na CHADEMA huu hapa - chukueni hatua..

Mwigulu hana timamu, ngoja tuone maana kuna mtu aliwahi kuwa analalamika huku JF kuwa aluhujumiwa na Heche nadhani ndo huyo yeye aende tu kwani ana nini cha kuzidi watanzania wengine, let him go, I guess mwigulu is stupid why doesn't he donate the money to the people in need in his constituency
 

Wakuu hiyo t shirt hii hapa MODS unaweza kuiambatanisha pale juu! Kama kuna umuhimu

Nimeitoa TANURU LA FIKRA
Nadhani hata hiyo gari ni Mwigulu, huyu dogo ana mapenzi sana na Mwigulu na huwa wanaambatana kila mahali.

Ndio alitaka kupiga mtu na viti kwenye uchaguzi wa CCM kawe
 
kwa ccm ni dhambi kuwa mchaga.....kuna ile karata ya udini wanayoichezea kila siku sasa wanaongeza na ukabila...aisey, effect ya hii kitu itakuja onekana tu lakini wazee wa uswisi nafikiri watakuwa wamepumzika st tropez wanakula bata wakati kinanuka huku
 
huyu mwgulu jamani hivi huwa ana matatizo gani,kuna mambo mengi sana ya kushughulikia jimboni kwake lakini nashangaa anapoteza nguvu nyingi kupambana na chadema na wakati kama angewekeza hizo nguvu katika jimbo lake angalau wananchi wangekuwa na unafuu,nawapa pole wananchi wake kwa kuwa na mbunge km huyu.
 
Hii kitu wanayopandikiza natamani Rais ajae awapeleke watu mahakamani.Maana tunapozungumzia Usalama wa Taifa mojawapo wa suala muhimu ni hili.Ilimchukua Mwl,miaka mingi kujenga misingi hii.watu wamekuja kuivunja kwa maslahi yao binafsi.I'll be more than happy kumuona huyu jamaa kizimbani akitoa utetezi wake wa kuwagawa watanzania kwa misingi ya udini na ukabila.
Bahati mbaya wanasiasa huwa na wajinga wasioona hata mabadiliko yanapokuja.
 
Upeo wa kufikiri kwa ccm ndiyo umefikia mwisho. hivyo tusigemee jipya kutoka kwao zaidi ya vituko.
 

Wakuu hiyo t shirt hii hapa MODS unaweza kuiambatanisha pale juu! Kama kuna umuhimu

Nimeitoa TANURU LA FIKRA
Nadhani hata hiyo gari ni Mwigulu, huyu dogo ana mapenzi sana na Mwigulu na huwa wanaambatana kila mahali.

Ndio alitaka kupiga mtu na viti kwenye uchaguzi wa CCM kawe
Mungu akubariki kwa taarifa hizi ulizotuletea. tumeshajua janja yao.
 
Nadhani kuna haja ifike wakati vijana wa Tanzania tuweze kusimamia mambo tunayoyaamini. Sidhani kama ni sahihi mtu kuja na allegation nzito na kukosa ujasiri hata wa kujitambulisha yeye ni nani ilhali akijidai kuwa anapigania maslahi ya taifa.
Why cannt you stand and say who you are and what you believe in?!!!
Taarifa za namna hii ni sawa kabisa na kuuziana mbuzi kwenye gunia...

Hivi wewe zeMarcopolo wewe ni nani; au huna ujasiri?
 
Kunawaliomtanguli na wakashindwa,moto wa kifuu huo hauna madhara.Huyo anafurahiya kwenda Igunga akamalizie ile kazi yake.Pili wachaga wameonewa vyakutosha imeonekana kama watu tusiohitajika katika serekali ya ccm, wanataka tuu kututumia tuwapigie kura tuu na sii sisi kutaka madaraka wala chochote,kwahiyo inabidi tulitazama sana hili kwa jicho la tatu.
 

Wakuu hiyo t shirt hii hapa MODS unaweza kuiambatanisha pale juu! Kama kuna umuhimu

Nimeitoa TANURU LA FIKRA
Nadhani hata hiyo gari ni Mwigulu, huyu dogo ana mapenzi sana na Mwigulu na huwa wanaambatana kila mahali.

Ndio alitaka kupiga mtu na viti kwenye uchaguzi wa CCM kawe

Duh! Huku kweli ni kuishiwa.

Raisi dhaifu, wapiga debe dhaifu, mikakati dhaifu.
 
Hizo T-Shirt tayari zimeanza kuvaliwa muda mrefu, na huyu hapa chini ni dogo anaitwa James Rock Mwakibinga ambaye ni kijana anayefanya kazi kwa karibu na Mwigulu Nchemba, ni kinyago cha Mwigulu Nchemba kinachotafuta nafasi ya kuongoza UVCCM mkoa fulani. Nadhani ni mbinu ya kitoto, ambayo kama wachaga wataiacha bila kuisemea watakuwa wamekubali kudhalilishwa vibaya sana. Huu ni uhaini, na kwa akili hizi CCM watambue wanachimba kaburi lao taratibu lakini kwa umakini.
552022_402317923165529_1508933694_n.jpg
 
hawa jamaa wa cccm wanachofanya sasa hivi ni kutugawanya watanzania kwa misingi wanayoijua wenyewe. kuanzia dini ukabila, ukanda etc. Si wanajua wanaondoka? Liwalo na liwe
 
HESHIMG KWAKO HAKI SAWA. ww sio chadema lakini umesimamia hili tunakushukuru na JINA LAKO LINASADIFU. PONGEZI
 
Back
Top Bottom