Leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya Lumumba Kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa Lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo nimeamua niliweke hadharani kabla halijatokea kwani naamini kabisa kuwa lengo la mpango huu ni kuendelea kutugawa taifa kwa misingi ya Ukabila jambo ambalo sikubaliani nalo kama ambavyo ninapinga kugawa watanzania kwa misingi ya udini .
Mwigulu Nchemba , juzi jumatatu amechapisha tisheti zenye maandishi ya M4C na ameweka maana kwenye hizo tisheti ambazo bado hazijaanza kugawanywa kuwa ni Movement 4 Chagga na ameweka maandishi makubwa kuwa changia Movement 4 Chagga (M4C), Zipo na zitaanza kugawanywa muda wowote .
Zoezi hili linaendena sambamba na operation ya Mwigulu ya kwenda Igunga eti kuelezea nini kilitokea mahakamani kwa wana Igunga , ziara hii imepangwa kuanza siku ya Jumamosi kwani alikuwa anasubiria FUSSO waliyonunua kwa shilingi milioni arobaini na tisa (49,000,000) na kuitengeneza kama za CDM ikamilike na walinunua vifaa Mlimani City tayari tangu wiki iliyopita.
Lengo la kuweka hapa ni kuwajulisha CDM wajue kuwa kuna mipango hiyo tayari imepangwa na inaendelea kutekelezwa , chukueni hatua .Aidha kuna vijana wenu watatu majina leo nayahifadhi wanafanya vikao vingi sana na Mwigulu na wa mwisho alipofika kwake wiki iliyopita alipewa shilingi laki nane , mara ya kwanza alipewa shilingi milioni tatu na huyu ametangaza rasmi kuwa atajiunga na CCM wakati wowote fuatilieni waliogombea Bavicha na kushindwa na hata mmoja aliweza kushinda ila anawahujumu nyie CDM.
Sikubaliani na mipango ya kuligawa taifa kwa misingi ya Udini na Ukabila hivyo nitaipinga sana hata kama mtanijua LIWALO NA LIWE.
NI MIMI MPIGA FILIMBI-
Mwigulu amekosea tu hiyo ni m4c maana yake no movement for catholic.
Anapeleka matunzo ya mjamzito.
usifananishe RC na mashekhe ubwabwa wanaojifungia msikitini kukwepa sensa...ficha upumbavu wako.!
HIYO NIMEAFIKI NJIA YA KUMDHOOFISHA ADUI NI KUMPIGA GOOOOOOD lazima kilaza mwigulu akomeMwizi wa jina la mtu mwingine ndio anataka kujaribu kuleta hujuma kwenye chama cha ukombozi?!
I have plan B.
Nina mjadala kuhusu mwigulu alivyo iba na kutumia jina la mtu mwingine baada ya kufeli darasa la saba, kabla hajafika Igunga over the week end nitakuwa nimesha attach na kumtumia mpiganaji mmoja azi print na kutoa photocopy azigawe kwa kila mpita njia na nyingine abandike kwenye nguzo za umeme. Hiyo itafanyika usiku huu nitaambatanisha na sehemu ya hii hoja.
Mwigulu ni laini kama maini.
Vipi mameno hayo angekuwa amesema Mwislamu? Msiwatendee wenzenu yale msiyoyapenda kutendewa..................hebu pata maumivu anayopata mwachadema mwenzio Muislamu>>>??????