Wewe uko wapi ?Kulikuwa na mpango wa kukianzisha Chuo hiki mpaka Makamu Mkuu wa Chuo akateuliwa na Mhe. Rais wa awamu ya nne. Ninauliza hivi mpango wa kuanzisha Chuo hiki imefikia wapi?.
Mmmmmmmmmmmkipo kilishaanza na Vice Chancellor wake ni Professor DOMINICK KAMBARAGE