mpango wa KINYEMELA na mpango wa KUTONYANA chama kimekwama.

tofyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
2,750
757
nimefanikiwa kufuatilia neno kwa neno kuanzia kauli ya samsoni mwigamba mpaka ally.o.chitanda lifuatalo ndio majibu yetu tulio wengi.
hii move ilianzia mwisho na kurudi mwanzo.mikakati alioitaja bwana chitanda ambayo ilikuwa mizuri na mibaya kwa nchi.
hii ilifanikiwa kwa sababu walikuwa wanatonyana kisha wanaitekeleza kinyemela .
na ndio maana tumaini makene katika majibu yake juu chitanda ameshindwa kutueleza kwamba ni mikakati gani ya hatari kwa nchi walioifanya kati ya zitto,slaa na chitanda.
ila tatizo limeanzia kwenye kipengele cha ukomo wa madaraka katiba ya 2004 ibara 6.3.2 kifungu c.
inaonekana walitonyana baadhi na kukiondoa kinyemela baadhi. na mwenye majibu sahihi katika hili ni mnyika.
na ndio maana hata zitto nae kwenye PAC akatumia mpango wa kutonya baadhi na kuibuka mwenyewe kinyemela.na zitto ameshatupa majibu sahihi.

MJADALA; tutawezaje kuleta umoja wa kitaifa kwa njia za KUTONYANA na KINYEMELA au kunyemeleana?.
 
wee unatofauti na kuku wa kizungu wanakula mcha na usiku sijui wanalala sangapi?
 
wee unatofauti na kuku wa kizungu wanakula mcha na usiku sijui wanalala sangapi?

badala ya kulishwa samaki umelishwa nyoka. Sio kila maneno mnayolishwa ni lazima muyale.
huu ni wakati wa "chuma kula chuma".
 
Back
Top Bottom