Mpango wa CHADEMA kuisusia Clouds Media waiva, Ni baada ya Interview ya Ole Sabaya

CHADEMA YAFANYA KIKAO CHA GHAFLA ZOOM MEETING KUSUSIA CLOUDS MEDIA

Chadema wamefanya kikao kupitia Zoom Video Meeting lengo ni kuhamasisha wafuasi wao kususia clouds media kwa sababu wanazodai ni kulinda heshima ya Mwenyekiti wao Ndugu Mbowe

Hii inachagizwa na Mahojiano ya leo asubuhi waliofanya na Dc wa Hai Lengai Ole Sabaya, ambae amejibu kwa ufasaha mkubwa hoja za malalamiko yao juu yake na kupelekea mlipuko wa watanzania kujua ukweli na uhalisia wa chuki za chama hicho kwake, Maazimio ya kikao hicho ni kuishambulia media ya clouds Tv na kupinga alichosema Mhe Sabaya.

Rai yangu ni kuwa chadema wajikite kwenye kuhakikisha Ndugu Mbowe anailinda heshima yake mwenyewe kwa kuyaishi anayoyahubiri majukwaani na sio kuzipangia Media kipi cha kuripoti na kipi cha kuacha maama haitawasaidia kuaminiwa tena na Watanzania hasa kipindi cha awamu ya sita ambayo inaongozwa na Tanzanite Lady Mama yetu kipenzi Mhe Samia Suluhu Hassan.​

View attachment 1779667View attachment 1779668View attachment 1779670View attachment 1779673

Kwanza walete mrejesho wa kuisusia Vodacom walipata matokeo au walipigwa 10 bila????
 
Bahati nzuri huwa siangalii wala kusikiliza hii media ya mashoga
 
Clouds ni Wapuuzi sana! Uzuri watanzania wengi Leo hii wana akili timamu; ukiviona vifanyakazi vya Clouds vinajifanya kama vile viko mbinguni

20210505_040610.jpg
 
Back
Top Bottom