Mpango wa CDM Kuwafikia Vijijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpango wa CDM Kuwafikia Vijijini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Du Bois ideas, Feb 2, 2011.

 1. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana CDM, naomba mnifahamishe hivi kuna mkakati gani wa kukisambaza Chama hadi Vijiji ambako kuna wapiga kura wengi zaidi, naomba msitumie elite tu kwani hata peasants are Revolutionary. Na kama mkakati huo upo unalanza lini. Helikopita ianze kazi mapema bado mchana, usiku ukiingia itakuwa taabu!!
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwanini husemi wazi wazi ya kwamba, sasa umefika wakati kwa CDM kuanza kupanua wigo wake kwa kuanzisha matawi mengi katika sehemu za vijijini nchi nzima.
   
Loading...