Jinsi ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani

Apr 16, 2021
19
20
Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako.

Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake.

1. TIN ya biashara
2. Leseni ya biashara

Na hili kuiongezea thamani biashara yako basi unaweza kuipa jina kwaajili ya kuitofautisha na zingine sokoni kwa kusajili jina la biashara yako na unapoamua kusajili jina la biashara zingatia wateja wako kama unahitaji kufanya kazi kwa kushirikiana na Makampuni mengine basi jitahidi na wewe usajili Kampuni.

Kwani Kampuni itakutenganisha wewe na Rasilimali zako na hata kama itatokea shida basi rasilimali zako zitakuwa salama na itaangaliwa Kampuni.

Kama una wazo la kumiliki Kampuni yako au jina la biashara basi wasiliana nasi tukupatie huduma safi na kwa uwakika zaidi.

Leo tumekuletea ofa ya usajili wa Kampuni au jina la biashara hivyo unaweza kukamilisha swala lako lililokuwa linakuumiza kichwa kwa muda mrefu.
Karibu sana

Sharose Enterprise
Bunju B, Dar es Salaam
Simu namba: 0755 440 118
Email: sharoseenterprisetz@gmail.com
0001-18962005343_20210417_095833_0000.jpg
 
Ili biashara yako iende kama unavyotarajia basi hauna budi kuwa na Mpango wako wa biashara, huu ndio utakaokuongoza namna vile unavyotaka biashara yako itekelezwe.

Watu wengi wanaendesha biashara zao kwa kutumia kichwa tu bila ya kuwa na mpangilio wowote wa namna gani biashara yake iende, mpango wa biashara ndio utakaokusaidia kujua wapi biashara yako itakapofikia baada ya miaka kadhaa na namna gani ufanye ili kufikia mafanikio ya biashara yako.

Kama unahitaji kuandaliwa mpango wa biashara yako iwe ufugaji, kilimo, duka, stationery, n.k, basi tupo kwaajili yako.
Karibu sana

Wasiliana nasi;
Sharose Enterprise
Simu namba: 0755 440 118
Email: sharoseenterprisetz@gmail.com
Tunapatikana: Bunju B, Dar es Salaam
 
Kama una ndoto ya kumiliki jina la biashara yako au Kampuni yako, basi nina jambo jema kwaajili yako.

Tumekuwekea ofa ya usajili wa Kampuni au jina la biashara kwa gharamaa nafuu kabisa.

Unachotakiwa kuwa nacho ni;
1. Namba ya NIDA
2. TIN ni namba tu inatosha ( Kwa usajili wa Kampuni)
3. Jina la biashara au Kampuni yako

Kujipatia ofa hii na maelezo mengine kwa kirefu zaidi, wasiliana nasi.

Sharose Enterprise
Bunju B, Dar es Salaam
Simu: 0755 440 118
Email: sharoseenterprisetz@gmail.com

KARIBU SANA..
0001-18962005343_20210417_095833_0000.jpg
 
Sharose Enterprise ni Kampuni binafsi inayosaidia wajasiriamali na wamiliki wa biashara kuziendesha biashara zao kisheria na kuziongezea thamani biashara zao.
Tunasaidia Wajasiriamali na wamiliki wa biashara kama ifuatavyo:
1. Kusajili biashara zao BRELA
2. Kuandaa michanganuo ya biashara
3. Kuandaa na kusajili nembo za biashara
4. Kufuatilia leseni za Biashara
5. Kuandaa Sera za kukopeshea kwa taasisi za mikopo
6. Kufuatilia vibali vya biashara
Ili kupata huduma zetu, wasiliana nasi
Simu: 0755 440 118
Email: sharoseenterprisetz@gmail.com
Tunapatikana: Bunju-Dar es Salaam
IMG-20210526-WA0001.jpg


Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom