Mpango wa 2018 Serikali kuweka cctv camera kwenye majiji hapa Tanzania ulifikia wapi?

babayao255

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
11,094
27,061
Mwaka 2018 serikali ilituambia kuwa ina mpango wa kuweka cctv camera kwenye majiji yetu lakini hadi sasa hivi hamjatekeleza hiyo ahadi.

Yaani Zanzibar inatushinda!

 
Back
Top Bottom