Mpango told to explain where money for water projects went

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
09May 2018

The Guardian Reporter

The Guardian

Mpango told to explain where money for water projects went

FINANCE and Planning Minister Dr Phillip Mpango was yesterday taken to task in parliament over an unduly large number of stalled water projects in the country after the Treasury released only 22 per cent of funds allocated to the Ministry of Water and Irrigation in the 2017/18 financial year.

The Speaker of the National Assembly, Job Ndugai, directed Dr Mpango to submit to parliament a detailed report on why the government failed to ensure the timely disbursement of water project funds to the relevant ministry.

“The government should take all the blame for the implementation failure of several water projects in the country. We want to know the reasons behind this failure since the monies were approved by the National Assembly for the financial year ending this June,” Ndugai said.

A report from the Parliamentary Standing Committee for Agriculture, Livestock and Water shows that by March this year, the Ministry of Water and Irrigation had received only 135 billion/- (22 per cent) of total funds approved for the 2017/18 fiscal year.

According to Speaker Ndugai, delays is disbursing funds for the implementation of water projects is tantamount to thwarting efforts to address water availability problems in the country.

Asserting that the involvement of local communities in implementing such projects was crucial to ensure their sustainability, he said: “Most of the water projects end up being white elephants due to poor management and poor engagement of locals. There must be inclusiveness of people at all levels in these projects in order to bring a sense of ownership.”

Earlier, while debating the 727.3bn/- Ministry of Water and Irrigation budget estimates for the 2018/19 financial year, members of parliament raised concerns over what they described as lack of commitment by the central government in addressing water problems.

Mtera MP Livingstone Lusinde (CCM) said the water shortage situation is becoming a threat to both government and the ruling party, and added:

“We need to come up with a probe team to look into the expenditure of water project funds. Billions of shillings are spent on these projects, but they end up being redundant. We need to investigate this matter to ensure accountability and proper expenditure of public funds.”

Kilwa South MP Selemani Bungara (CUF) urged the government to sell two of its aircrafts bought for Air Tanzania Corporation Limited (ATCL) and use the funds to solve water problems especially in the rural areas.

According to Bungara, ensuring proper water supply throughout the country should be made a priority ahead of the purchases of ATCL planes.

“Yes, we have purchased the aircrafts, but most of our people are still spending hours in search of water. The government should be blamed for water shortage problems since it has not prioritised the sector,” the Kilwa South legislator said.
 
Bunge linaidhinisha pesa za Wizara husika halafu yule D anazichota na kuzitumia vile atakavyo kwa mambo ambayo hayana tija kwa Watanzania na Bunge halijatenga pesa kwa mambo hayo. JANGA KUBWA LA TAIFA!!!
 
Bunge linaidhinisha pesa za Wizara husika halafu yule anazichota na kuzitumia vile atakavyo kwa mambo ambayo hayana tija kwa Watanzania na Bunge halijatenga pesa kwa mambo hayo. JANGA KUBWA LA TAIFA!!!
Jamaa wanapeleka 22 % ya bajeti halafu ziarani inapigwa simu live kwa Kitila na kuchimba mkwara kwa wakandarasi. Ule Mkwara alioupiga Mikumi, sidhani kama bado anakumbuka. Kinachoendelea ni kama vile funika kombe ......!!

Watu wanashangilia na kupongeza kwa vile Kitila kaitwa kwenda Mikumi kusolve tatizo la maji kijiji fulani utafikiri yeye ni Engineer. Kama maji ni tatizo tu Dar ambako ndiyo kioo cha nchi .... sasa huko madongo kuinama sijui kukoje.

Yaani mtu wa Dar anaoga maji kwenye ndoo na anakunywa maji ya mtungi sawa na yule wa kijijini ...!! I wish Bombardier zitatatua tatizo letu la maji huko mbeleni!!
 
Tunakoelekea Mkuu kunatisha sana tungekuwa na uchaguzi huru na wa haki hawa wahuni wasingeambulia hata 25% lakini majizi haya yataiba tu ndiyo sababu hayataki uchaguzi huru na wa haki.

Jamaa wanapeleka 22 % ya bajeti halafu ziarani inapigwasimu live kwa Kitila na kuchimba mkwara kwa wakandarasi. Ule Mkwara alioupiga Mikumi, sidhani kama bado anakumbuka. Kinachoendelea ni kama vile funika kombe ......!!

Watu wanashangilia na kupongeza kwa vile Kitila kaitwa kwenda Mikumi kusolve tatizo la maji kijiji fulani utafikiri yeye ni Engineer. Kama maji ni tatizo tu Dar ambako ndiyo kioo cha nchi .... sasa huko madongo kuinama sijui kukoje.

Yaani mtu wa Dar anaoga maji kwenye ndoo na anakunywa maji ya mtungi sawa na yule wa kijijini ...!! I wish Bombardier zitatatua tatizo letu la maji huko mbeleni!!
 
Bunge linaidhinisha pesa za Wizara husika halafu yule D anazichota na kuzitumia vile atakavyo kwa mambo ambayo hayana tija kwa Watanzania na Bunge halijatenga pesa kwa mambo hayo. JANGA KUBWA LA TAIFA!!!
Si ndio hii njemba na mwenzake sijui Alfayo nani walimpiga vita Rishard Bade TRA?

Yani hawa mchwa hapana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bunge linaidhinisha pesa za Wizara husika halafu yule D anazichota na kuzitumia vile atakavyo kwa mambo ambayo hayana tija kwa Watanzania na Bunge halijatenga pesa kwa mambo hayo. JANGA KUBWA LA TAIFA!!!
Zipo tetesi kwamba Dr Mpango ni ndugu wa Dotto James
 
sijui sisi wazee wa kusifia tusifie lipi sasa maana kila siku wa upande wa kukosoa wanapewa material, mbaya tukiungana nao wanatuonyesha tulivyokuwaga huko nyuma.
09May 2018

The Guardian Reporter

The Guardian

Mpango told to explain where money for water projects went

FINANCE and Planning Minister Dr Phillip Mpango was yesterday taken to task in parliament over an unduly large number of stalled water projects in the country after the Treasury released only 22 per cent of funds allocated to the Ministry of Water and Irrigation in the 2017/18 financial year.

The Speaker of the National Assembly, Job Ndugai, directed Dr Mpango to submit to parliament a detailed report on why the government failed to ensure the timely disbursement of water project funds to the relevant ministry.

“The government should take all the blame for the implementation failure of several water projects in the country. We want to know the reasons behind this failure since the monies were approved by the National Assembly for the financial year ending this June,” Ndugai said.

A report from the Parliamentary Standing Committee for Agriculture, Livestock and Water shows that by March this year, the Ministry of Water and Irrigation had received only 135 billion/- (22 per cent) of total funds approved for the 2017/18 fiscal year.

According to Speaker Ndugai, delays is disbursing funds for the implementation of water projects is tantamount to thwarting efforts to address water availability problems in the country.

Asserting that the involvement of local communities in implementing such projects was crucial to ensure their sustainability, he said: “Most of the water projects end up being white elephants due to poor management and poor engagement of locals. There must be inclusiveness of people at all levels in these projects in order to bring a sense of ownership.”

Earlier, while debating the 727.3bn/- Ministry of Water and Irrigation budget estimates for the 2018/19 financial year, members of parliament raised concerns over what they described as lack of commitment by the central government in addressing water problems.

Mtera MP Livingstone Lusinde (CCM) said the water shortage situation is becoming a threat to both government and the ruling party, and added:

“We need to come up with a probe team to look into the expenditure of water project funds. Billions of shillings are spent on these projects, but they end up being redundant. We need to investigate this matter to ensure accountability and proper expenditure of public funds.”

Kilwa South MP Selemani Bungara (CUF) urged the government to sell two of its aircrafts bought for Air Tanzania Corporation Limited (ATCL) and use the funds to solve water problems especially in the rural areas.

According to Bungara, ensuring proper water supply throughout the country should be made a priority ahead of the purchases of ATCL planes.

“Yes, we have purchased the aircrafts, but most of our people are still spending hours in search of water. The government should be blamed for water shortage problems since it has not prioritised the sector,” the Kilwa South legislator said.
[/QUOTE
 
Ni UOZO mwanzo mwisho AFYA pia bajeti yake iliyoidhinishwa na Bunge iliminywa kimya kimya na dhalimu

sijui sisi wazee wa kusifia tusifie lipi sasa maana kila siku wa upande wa kukosoa wanapewa material, mbaya tukiungana nao wanatuonyesha tulivyokuwaga huko nyuma.
 
Jamaa wanapeleka 22 % ya bajeti halafu ziarani inapigwa simu live kwa Kitila na kuchimba mkwara kwa wakandarasi. Ule Mkwara alioupiga Mikumi, sidhani kama bado anakumbuka. Kinachoendelea ni kama vile funika kombe ......!!

Watu wanashangilia na kupongeza kwa vile Kitila kaitwa kwenda Mikumi kusolve tatizo la maji kijiji fulani utafikiri yeye ni Engineer. Kama maji ni tatizo tu Dar ambako ndiyo kioo cha nchi .... sasa huko madongo kuinama sijui kukoje.

Yaani mtu wa Dar anaoga maji kwenye ndoo na anakunywa maji ya mtungi sawa na yule wa kijijini ...!! I wish Bombardier zitatatua tatizo letu la maji huko mbeleni!!
Hivi wizara ya maji inahitaji fedha kutoka hazina? Watuambie kwanza wamezalisha maji lita ngapi na wamekusanya kiasi gani na wametumia kiasi gani?

Kwanini wizara ya maji isiweke royalty ya shs 100 kwa viwanda vinavyotumia maji kama tbl azam cocacola na pepsicola.

Kwanini wasiweke fee za tanesco kwa kutumia maji ya mto kilombero kuzalisha umeme? Hiii vat tunayoshikana mashati haiwezi fanya kila kitu jamani
 
Bunge ligeuke kama Bunge la South Africa Uganda Nigeria ni ngumi mwanzo mwisho tutaheshimiana.
Wabunge wa ccm wanalipwa kupitisha budget za ovyo na wana mgao kwenye pesa zinazoinishwa.
Wabunge wa ccm wote wezi
Wale wabunge wanao sifia ujenzi wa Chato International Airpot ambao haupo kwenye budget
 
Kama Mpango alijua litatolewa maelezo kulikuwa na haja gani sasa ya kumtoa Mnyika nje ya Bunge?
Naona taratibu tutaanza kupata na mwanga wa upotevu wa ile figure ya CAG.
 
Ndomana mabunge ya wenzetu watu wanamuaga kupeana vitasa tu maana hakuna jinsi

Ova
 
Hivi wizara ya maji inahitaji fedha kutoka hazina? Watuambie kwanza wamezalisha maji lita ngapi na wamekusanya kiasi gani na wametumia kiasi gani?

Kwanini wizara ya maji isiweke royalty ya shs 100 kwa viwanda vinavyotumia maji kama tbl azam cocacola na pepsicola.

Kwanini wasiweke fee za tanesco kwa kutumia maji ya mto kilombero kuzalisha umeme? Hiii vat tunayoshikana mashati haiwezi fanya kila kitu jamani

We're hujaelewa! Hazina imetoa 22% ya Pesa zilizotengwa kwa ability ya maji , ndio sealing linakua pesa Nyingine ziko wapi?
 
Wizara karibu zote za kimaendeleo pesa imetoka chini ya 46% maana hata bajeti kuu iko chini ya 50% kwa mujibu wa taarifa zao bungeni isipokuwa wizara za kiutawala,afya,elimu na ujenzi ndizo walau zimefika angalau 70% plus zingine huko kama maji,KILIMO,mifugo,etc hali ni tete.Pesa zmepelekwa kwenye mabombadia Mara sgr Mara kwenye kuimarisha chama xjui Uwanja chato na mambo mengine yasiyo na tija
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom