Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,794
- 71,214
Baada ya Vyama vikuu vya upinzani kuonyesha nia ya kujitoa uchaguzi serikali za mitaa, vyama visivyo wabunge kama DP, UDP, CHAUSTA,TLP nk viliandaliwa kutoa counter attack kuwa wao wanaona uchaguzi uko huru na watashiriki.
Mahesabu yaligundulika kuwa yamekosewa kwani vyama hivyo havikuwa na wagombea wakutosha kuonyesha ushiriki wao na mbaya zaidi hata hao wameenguliwa na muda wa kutoa fomu nyingine haupo tena sasa ushiriki wao utaonekanaje?
Njia ya kufanya ni kuwachomeka wagombea kwa kuwapa fomu na kuzijaza warudishe sasa ili waonekane wanashiriki kwa wingi.
Kikwazo ni wagombea wa CCM waliokuwa wameamini wameshapita bila kupingwa kuambiwa sana washindani. Wako tayari kuweka siri hiyo hadharani.
Kila mpango wa shetani lazima uvurugike na siri kufichuka.