Mpanda: Tundu Lissu ayalipua Maridhiano, Kingai, Byakanwa na Wambura Watajwa

Kama Lisu bado ana siasa za namna hii anafeli pakubwa sana,hizi siasa za lawama zimepitwa na wakati ,aseme atafanya nini tofauti na CCM ikiwa atakamata dola,aache porojo
Huu sio muda wa kampeni huu ni wakati wa kukosoa utendaji, hujifunzi ya Kenya?.
Ukigusa sijui kuongelea sera ya chama sasa hivi msajili anawalima barua, zinaitwa kampeni za mapema
 
Back
Top Bottom