Mpanda: Rais Magufuli azindua safari za ndege kati ya Dsm - Mpanda

Safi sana, angalau tunaweza kumove direct to mpanda, lakn nashauri wakat zinaenda mpanda zitue songwe>sumbawanga>mpanda.
 
Karibuni sana

Up dates;
Rais Magufuli tayari yuko uwanjani na ndege ya ATCL imeshatua tayari kabisa kwa Rais kukata utepe wa ufunguzi.

Hiyo ' Route ' ATCL walikuwa nayo Siku nyingi au ni ' Route ' ya Kulazimisha kwakuwa ' Mnunuaji ' Mkuu amesema na akisema basi huwa ni Amri kwa Watendaji wake? Hizi tabia za Kuharakisha Vitu pasipo labda mambo muhimu tena ya ' Kitaalam ' na ' Kimasoko / Kibiashara ' zaidi ndiyo huja kuleta Matatizo baadae halafu ' Lawama ' zinaanza hadi Kupelekea Watu ' Kutumbuliwa ' mara moja. Kama ATCL walikuwa na hiyo ' Route ' basi nawapongeza, ila kama ni ' Route ' ya Kulazimisha basi sioni Aibu / Haya kuwaita ' Mapopoma / Wapuuzi ' Waandamizi kabisa.
 
Aakh afu huyu mjamaa anapenda misifaa.. Mbichwa wake mkuubwa kweli.. Na libombadia liangukee na kulipukaa
 
Italeta tija tukiimarisha kiwanja cha songwee na kigoma kwa ukanda huooo

songwe - strategically located = itahudumia hata wageni wa kwenda na kutoka malawi/zambia/kongo

Kiuhalisia ATCL haiwezi kuhudumia kila mkoa, labda kwa ziara maalumu za waandamizi wa serikali/mashirika hisani etc
 
Back
Top Bottom