mpanda, nkenge vipi


bulunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
296
Likes
12
Points
35

bulunga

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
296 12 35
nataka kujua kama kuna mtu keshapata matokeo vituoni kabla ya kuchakachuliwa, maana bby this time lazima wamemaliza kuhesabu :caked:
 

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Messages
1,287
Likes
1
Points
0

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2008
1,287 1 0
Mpanda ni sehemu ya chadema 70%, Pinda amepeleka wachakachuaji kila kona ila wananchi wako imara, sijui kama nani atashinda maana hilo ni mhimu kwa pinda ili aaminiwe na kurudishwa uwaziri mkuu. Nahisi watu wanaweza kujutia mioyoni na mshindi kupewa mtu ambayw sio. Tanzani sasa imeshaharibika maana mwizi wa kura ndiye kiongozi wa wananchi
 

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
1,460
Likes
51
Points
145

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
1,460 51 145
Mpanda Mjini Chadema wamechukua kwa tofauti ndogo sana ya kura dhidi ya mgombea wa CCM.

Mpanda Vijijini kama kawaida ya vijiji vingine wameamua kuendelea na CCM yao!!

CUF wameongeza viti vingine 3 kutoka Zanzibar!!
 

Forum statistics

Threads 1,204,867
Members 457,581
Posts 28,173,857