Mpambano kupunguza gharama

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Kampuni za simu hasa VODACOM NA ZAIN zinatoza bei kubwa ktk huduma ya kupiga simu iwe wenyewe kwa wenyewe au kuenda mtandao mwingine.
Ninaposema gharama zao ni kubwa mno nalinganisha na washindani wao,yaani TiGO na Zantel.
Wadau,kwa nini tusigome kutumia huduma zao ili kushinikiza punguzo la gharama zao.
Mimi kwa kuanza nitakuwa sipigi simu kwa kutumia mitandao hiyo.
Tuache kulalamika tuchukue hatua
 
kampuni za simu hasa vodacom na zain zinatoza bei kubwa ktk huduma ya kupiga simu iwe wenyewe kwa wenyewe au kuenda mtandao mwingine.
Ninaposema gharama zao ni kubwa mno nalinganisha na washindani wao,yaani tigo na zantel.
Wadau,kwa nini tusigome kutumia huduma zao ili kushinikiza punguzo la gharama zao.
Mimi kwa kuanza nitakuwa sipigi simu kwa kutumia mitandao hiyo.
Tuache kulalamika tuchukue hatua
ni kweli mdau. consumer power inaweza kufanya kazi. Tutumie mkakati gani kuhamasisha wateja wa vodacom kujiunga na mgomo? Kwa kweli makampuni ya simu yote hapa tz yanatuibia sana ukilinganisha na viwango vya nchi zingine. Badala yake wanatudanganya na hizo promosheni ........ "ongea bure kwa shilingi mia tano tu".
 
Back
Top Bottom