Mpaka wetu na Malawi uko wapi?

Fundi Mchundo

Platinum Member
Nov 9, 2007
8,939
6,849
tz-map.gif

Kutokana na ramani nyingi ( mfano ni hiyo hapo juu) mpaka huu uko ukingoni mwa ziwa Nyasa/Malawi na ziwa lote ni la Malawi.Ina maana kuwa wavuvi na boti zetu zinaposafiri mno zinaingia bila kibali katika nchi nyingine? Au wametuazima kwa muda? Mbona hali ni tofauti kwenye maziwa Tanganyika na Victoria ambapo mipaka iliyopo inaonyesha wazi milki za Tanzania? Au kuna makaubaliano maalum kuhusu ziwa Nyasa. Nakumbuka kuna wakati almanusra tupigane na Malawi kutokana na wao kudai milki ya ziwa lote. Tuliimba sana wakati wa mchakamchaka nyimbo za kumtukuna Ngwazi Kamuzu Banda. hivi inawezekana alikuwa sahihi! Kama sio, mbona hatujarekebisha ramani?
 
AS MUCH AS I KNOW.....RAMANI ZINAZOCHORWA KUONYESHA MPAKA WA TANZANIA NA MALAWI....NYINGI ZIMETIWA CHUMVI NA WASIOTUTAKIA MEMA ,.........SIMPLY TAKE 3 TO 4 DIFFERENT MAPS...YOU WILL COME TO REALIZE THAT ALL THOSE MAPS SHOW DIFFERENT BOUNDARIES.......!
AS IT WAS THE SAME CONCERNING MT.KILIMANJARO.......!
WANABAKI KUCHORA KWENYE RAMANI KUWA UPO KWAO(kilimanjaro/nyasa) BUT THE TRUTH IS VICE VERSA....!
 
Nimeangalia Mkuu na zote zinaonyesha hali hiyo hiyo. Pengine mwenzangu nisaidie ku-google na ukipata moja inayoonyesha tofauti ibandike hapa! Sijawahi kuona ramani ikonyesha Mlima Kilimanjaro uko kwingine zaidi ya Tanzania. Sidhani kama Kenya wamewahi kudai OFFICIALLY kuwa mlima huo uko kwao. Nyingi ya hizi ramani ni zile zinazotolewa na sisi wenyewe kujinadi kibiashara! Nani sasa alaumiwe?
 
Iyo mipaka ni siasa tuu lakini nijuavyo mimi ilo ziwa the two countries zinashare ilo ziwa.
Upande ulio karibu na Tz,watz wanajimwaya kivya hasa wangoni,wanayasa na wananyakyusa maeneo ya itungi port,mbamba bay,matema beach n.k.
Na maeneo yaliyokaribu na malawi nao wanajimwaya kivyao hasa maeneo ya kalonga.
Cha kufuraisha ni kuwa wakazi wa karibu wa ilo ziwa ni watu of the same cultural background thats why kuna wanyasa wa tz na wa malawi and the same to wanyakyusa ambao wapo waishio Kalonga.
So life maeneo yale ni ya amani,and I have been in those areas just last year.
 
Hapana, Mkuu. Mipaka inawekwa kwa sababu. Ukiangalia ramani zilizotengenezwa uarabuni nasikia hazionyeshi Israel. Na leo hii waeritrea na waethiopia wanatoana ngeu kwa ajili ya suala kama hili. Hivi tuseme yagundulike mafuta ukingoni mwa ziwa hili utawalaumu wamalawi wakidai haki yao? Tutajikuta tunaenda the Hague na tutaonyesha ushahidi gani kuwa hiyo sehemu ni ya kwetu? Au tutadai tort kutokana na matumizi yetu ya muda mrefu? Wanigeria na nadhani wacameroon nao wameshupaliana kutokana na mambo kama haya! Tatizo tumezidi mno masihara. Kama mpaka haujulikani kwa nini tusianzishe majadiliano na wenzetu kuhusu umilikaji wa sehemu hiyo wakati hali bado ni shwari?
 
Back
Top Bottom