Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,032
- 759
Mkii huku ni kutangaza vita!Hawa Wamalawi wasintanie kabisa, Babu yangu kasema Mpaka wa Tanganyika na Malawi uko hapa
View attachment 71983
View attachment 71984
Hizi sehemu zote zetu hizi
- Karonga
- Rumbi
- Mzuzu
- Chitipa
- Nkhata
Tena wakae mbali maana tutakuja kudai sehemu yetu haiwezekani bana!!!!
Mkii huku ni kutangaza vita!
RAMANI GANI HAINA HATA uFUNGUO?Tatizo hujui kusoma ramani kwa mtazamo wako hayo maeneo yapo Tanzania .Geographia ya darasa la 5 inatosha.
Tupigane kinyama kuirudisha ardhi hii nyumbani!
RAMANI GANI HAINA HATA uFUNGUO?Tatizo hujui kusoma ramani kwa mtazamo wako hayo maeneo yapo Tanzania .Geographia ya darasa la 5 inatosha.
RAMANI GANI HAINA HATA uFUNGUO?Tatizo hujui kusoma ramani kwa mtazamo wako hayo maeneo yapo Tanzania .Geographia ya darasa la 5 inatosha.
Mandingo huyo jamaa inawezekana ni Mmalawi, atulie tu halafu waendelee na zozo lao la kung'ang'ania ziwaWewe ni mmalawi nini???hata kama kakosea ila uzalendo mbele chalii angu....
Hawa Wamalawi wasintanie kabisa, Babu yangu kasema Mpaka wa Tanganyika na Malawi uko hapa
View attachment 71989
View attachment 71987
Hizi sehemu zote zetu hizi
- Karonga
- Rumphi
- Mzuzu
- Chitipa
- Nkhata
Tena wakae mbali maana tutakuja kudai sehemu yetu haiwezekani bana!!!!
Hivi umesema degree yako uliipata Kampala International University au?
Hivi umesema degree yako uliipata Kampala International University au?
Taratibu! Mwenzio amegaramia hela ya internet cafe!
mimi napenda ma patriots kama wewe
safi sana hii
Hii ya leo kali.
Tabby inabidi tuenende nao sawasawa na wao wanachokitaka, Wanataka ziwa lote la Malawi/Nyasa, nasi yatupasa kudai hicho kijisehemu kirudi Tanganyika.Ndugu zangu, ni vizuri kuhamasisha fikra mpya zenye ubunifu. Kmox Kmokole mimi ninakukubali kwa ubunifu. Endelea kiongozi usikatishwe tamaa na wenye wivu. Kama kunakitu hajaelewa mtu ama anaona kuna upungufu si aulize au ashauri? Kutokutoa marks hata panapostahili ni dalili ya wivu. Mtu akifanya jambo zuri, tumtie moyo jamani. Keep it up Kmox. Endelea kututolea vitu vya kibunifu utafika mbali.