Mpaka sasa ziara za Rais Magufuli zimekuwa za mafanikio makubwa sana

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,668
40,916
Ziara zilizompeleka Mh. Rais Katika mikoa kadhaa zimekuwa za mafanikio makubwa sana.

Rais amefanikiwa kuyafahamu maeneo korofi yanayokwamisha maendeleo na kuyatolea suluhu yake hapo hapo jambo ambalo limemuongezea imani kubwa toka kwa wananchi.

Viongozi na watendaji wenye kasi ya kusua wameonekana wazi na kurekebishika.

Miradi ya maendeleo iliyokuwa imelala sasa imepata mwamko kwa nguvu inayohitajika.

Faida za ziara za Rais ni kubwa na wananchi kila anakopita wanaonesha kwa kiasi kikubwa kuridhishwa na utendaji wa kiongozi wao.

Hili jambo ni jema linapaswa kuendelea.
 
Aiseee. Hayo ni mafanikio makubwa sana. Watu aina yako mnachangia sana kutufanya tuonekane nchi ya mazuzu.
 
Kama mpaka leo Rais hayafahamu matatizo ya Watanzania basi ampishe mtu mwingine hapo ikulu.

Mimi sihitaji ziara yoyote kuzijuwa shida za Watanzania, kila mwenye akili timamu anafahamu vyema matatizo ya nchi hii ni yepi.

By the way Rais ana msemaji wake wewe tuliza wowowo lako pambana na hali yako.
 
Kwa mfano labda tueleze wewe ulitaka atoe hotuba ya namna gani?Maana yote anayohutubia ndiyo anayofanya na uelewe siyo kila mwananchi anayajua haya mambo na ndiyo maana anayarudiarudia akiwa ziarani.
Tatizo ni hotuba zisizo na tija mambo yale yale mwaka mzima ndege, barabara, madaraja, wafanyakazi hewa, kuwabana mafisadi, uchumi kukua kwa asilimia 7 wakati hakuna kitu
 
Kama mpaka leo Rais hayafahamu matatizo ya Watanzania basi ampishe mtu mwingine hapo ikulu.

Mimi sihitaji ziara yoyote kuzijuwa shida za Watanzania, kila mwenye akili timamu anafahamu vyema matatizo ya nchi hii ni yepi.

By the way Rais ana msemaji wake wewe tuliza wowowo lako pambana na hali yako.
Soma mada uelewe kabla ya kuchangia.
 
Aiseee. Hayo ni mafanikio makubwa sana. Watu aina yako mnachangia sana kutufanya tuonekane nchi ya mazuzu.
You are entitled to your opinion, however Hakuna anayejali sana nyie wapingaji wa kila siku na kila kitu as long as tija ya Ziara za Rais zinaonekana na wengi; mafanikio yake ni mwiba mchungu kwa wapinzani;
 
Back
Top Bottom