Mpaka sasa vyombo vya habari havijawauliza NEC kulikoni kasoro nyingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpaka sasa vyombo vya habari havijawauliza NEC kulikoni kasoro nyingi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jethro, Oct 31, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Mpaka sasa nashindwa elewa vyombo vya habari vinaendelea kujurisha mchakato mzima wa kupiga kura nchi nzima ila cha ajabu mpaka sasa hivi vyombo vyote havija tuonyesha kuwa wamewatafuta hawa watu wa NEC makao makuu na kujua kulikoni mbona kasoro ni nyingi sana kuhusu watu kuto kupiga kura i mean wananyimwa hakizao za kisheria za kupiga kura na NEC imeonyesha mapungufu makubwa tena ya ajabu sana na hii nawasi wasi sana kwanini nasema hili takwimu ya ushindi wa CCM ya JK usije onekana umepungua toka 80% kwenda mpaka 60% na nikinyume na ile ya ben mkapa ambaye alitoka chini kwenda juu 60% 1995 na 70% 2000.

  Jaji makame tunaomba taarifa tena kupitia vyombo vya habari kutueleza hili zoezi la kupiga kura limefanikiwa kiasi gani na je Mapungufu haya yatatatuliwa vipi kwa wale ambao hawajapiga kura?
   
Loading...