Mpaka Sasa 'Man Of The Match' ni Lowassa

amilyroley

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
621
1,199
Dakika ni ya 80.. Lowassa nchi nzima anatamkika na kukubalika. Kuanzia Pemba mpaka Kagera Ruvuma mpaka Uwanja wa nyumbani Arusha kote ni Lowasa. Wenzetu gumzo lao si mgombea ni wasanii wa muziki na muvi.. Mgombea analazimisha tu kwa kupigwa back up ila hana mashiko kwa jamii.. Game tumelishika vizuri na refa hana kadi nyekundu japo anabadilishiwa vibendera.. Bado week tatu..Lowassa nyota wa mchezo
 
Mie nimeshaondoa wasiwasi nae kabisa,nangojea aapishwe tu.
Huyu mzee ni noma kwakweli.
Huu mwaka ni wake...ama kweli ukifungiwa mlango huu usikate tamaa mwingine uko unakusubiri!
 
Mie nimeshaondoa wasiwasi nae kabisa,nangojea aapishwe tu.
Huyu mzee ni noma kwakweli.
Huu mwaka ni wake...ama kweli ukifungiwa mlango huu usikate tamaa mwingine uko unakusubiri!

Siku hizi umekuwa Al-Watan siasani ati!
 
Lowasa hana mpinzani kabisa, yeye kama yeye ni jeshi pekee, Magufuli hadi apewe sapoti
 
Back
Top Bottom