Mpaka sasa Makolo hawajaweka Uzi kuelekea match ya saa 10

Kama tulivyozoea msimu uliopita,ilikuwa Simba wakicheza siku basi utafunguliwa Uzi wa update kuelekea match hiyo asubuhi na mapema. Cha kushangaza mpaka sasa saa saba mchana hakuna Uzi wala dalili ya Uzi.
Mnawashwa ???
Dodoma mji ni katimu kadogo sn,hatuwezi kuacha mambo yetu kukimbilia kufungua uzi saa 3 asubuhi ..tusubiri saa 10

Utopolo subirini mechi za ligi ya mabingwa wanaume tutakapoanza kukiwasha tutafungua threads mapema sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Muda bado tulieni, msijifariji mkasahau matatizo yenu

Furaha yenu haidumu
NAWASALIMU KAKA ZANGU.
 
Back
Top Bottom