Mpaka sasa katika VPL; Takwimu zinaongea.

Simba kama Arsenal tukutane March.... Mechi zote taifa... Masikini akipata matako ulia mbwata
 
Simba kama Arsenal tukutane March.... Mechi zote taifa... Masikini akipata matako ulia mbwata

Nadhani unamaanisha tukutane katika sherehe ambazo Mnyama atakua anakabidhiwa 'mwali' Taifa... kwakua mpaka katikati ya mwezi March.. Simba atakua kabakiza mechi 3 tu.. huku akiwa na ponti ambazo hasiwezi kufikiwa na timu yoyote.
 
Sio vibaya kuota
 
Timu 3 za kwanza katika msimamo wa ligi.
1. Simba S.C - Pointi 17
2. Stand United - Pointi 16
3. Mtibwa Sugar - Pointi13

Timu iliyoshinda Mechi nyingi.
1. Simba S.C - Mechi 5
2. Stand United - Mechi 4
3. Mtibwa Sugar - Mechi 4

Timu iliyofungwa Mechi chache.
1. Simba S.C - Mechi 0
2. Stand United - Mechi 0
3. Tanzania Prisons - Mechi 1

Timu iliyofunga magoli mengi.
1. Simba S.C - Magoli 13
2. Azam - Magoli 10
3. Yanga Yetu S.C - Magoli 9

Wachezaji wanaaongoza kwa kufunga goli nyingi.
1. Shiza Kichuya - Magoli 5
2. Amis Tambwe - Magoli 4
3. Laudit Mavugoal - Magoli 3

Timu iliyofunga goli ambalo wanasayansi mbali mbali duniani wanalijadili... IMEWEZEKANAJE??!!
1. Simba S.C - Magoli 2
2. Hakuna
3. Hakuna

ANGALIZO:
Timu iliyofunga goli la mkono mpaka sasa.
1. Yanga Yetu S.C - Goli 1
2. Hakuna
3. Hakuna

.. na msimamo wa VPL mpaka sasa upo hivi

View attachment 414312
Hivi hii simba imecheza mechi ngapi za ugenini??????
 
Hivi Jamani Kwanini Nyinyi Wa Madimbwini FC Hamutaki Kuamini Kuwa Marahii Simba Ni Bingwa??
Nyinyi Wakimajangwani Mibishi Kweli!!!
 
Hivi hii simba imecheza mechi ngapi za ugenini??????
Hujaeleweka mkuu, au unamaanisha kutoka nje ya Dar??? Kama za ugenini kashacheza mbili...............nyie ndo wale mkiulizwa uwanjani kuna wachezaji wangapi wanacheza unajibu haraka 22, huku ukisahau mwamuzi wa kati na wasaidizi..........
 
ndo timu gani hiyo mkuu? mana tz hatuna club ya jina kam hilo.

Kama Hufahamu Kuwa TZ kuna Timu inayoitwa "YOUNG" basi itakuwa unaitambua Kwa Jina la Kandambili FC, Mkodisho FC, Vyura FC, Wakimataifa FC, Yeboyebo FC, Wamadimbwini FC na Mbeleko FC.
Nadhani Sasa Umeshafahamu Timu hiyo...
 
unajitoa ufahamu,eh kujifanya unaelewa sana kumbe hamna lolote.hutaki kusahishwa nakufundisha sema DAR YOUNG AFRICANS SC.
 
unajitoa ufahamu,eh kujifanya unaelewa sana kumbe hamna lolote.hutaki kusahishwa nakufundisha sema DAR YOUNG AFRICANS SC.

Watz Bhana! Kumbe Point Yako Kubwa Ulitaka Nilitukuze Jina La Timu Yako??
Si ungesema tu Nisilikate Jina La Yanga Bali Nilitamke Jina Kamili!!
Haya Nasisi Tutawakosoa Wanaoiita SIMBA SPORTS CLUB jina la "SIMBA" bila ya Kumaliza Sports Club!
Sorry na Wanaoita Man U, Man City, Saton, Spurs, Boro, Liver, Swans Pia usisahau Kuwakosoa!!! Au utuambie Kuwa Hakuna Timu Hizo....
Acha Umwehu bro si Kila Jambo Kuwa Unalazimika Uqoute! Hilo Jina Hakuna asiyelijua ila Tunatumia Short Cut Katika Matumizi Yake...
 
sasa matusi ya nin mkuu,kama huelewi kwanin tusikwambie tatizo ni kwamba wew umekaa kimajungu majungu ndio maana wala huna lolote.ila tusifike huko kuanza kubishana ujinga mkuu,mwsho wa siku naamin umeipata point yang namim nimekusoma so,amani itawale mkuu sis sote mashabiki wazur tu kwa timu zetu asante.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom