Mpaka sasa hivi sina mwaliko wa sikukuu.

Hellow guys.
Ndugu zangu kutoka bara,
Kwa moyo wa unyenyekevu naombeni mwaliko wa sikukuu ya Christmas. .
Tarehe 20 natoka Zanzibar kuelekea Dar es salam.
Nategemea kupata mialiko ya kutosha na nitahudhuria yote.
Shukran
Christmas imepita ila kama bado upo bongo nyorosha mpaka Msata kilingeni nakusubiri kwa hamu kubwa sana

Jr
 
Back
Top Bottom