Elections 2010 Mpaka sasa Halmashauri za mikoa hii ni kwa chadema

M

manyusi

JF-Expert Member
285
225
Kwa mwenendo wa matanganzo mpaka sasa Chadema imeshika halmashauri za hii mikoa Musoma,Kigoma,Mwanza,Arusha,Iringa.Hapo sijazumgumzia wilaya
 
Kasheshe

Kasheshe

JF-Expert Member
4,699
1,225
Kwa mwenendo wa matanganzo mpaka sasa Chadema imeshika halmashauri za hii mikoa Musoma,Kigoma,Mwanza,Arusha,Iringa.Hapo sijazumgumzia wilaya
Mzee ni halimashauri za majimbo sio mikoa.
 
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
177,954
2,000
Mambo bado.................mafanikio zaidi mbele ya safari......Aluta continue..............
 
Forum statistics

Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom