digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,888
- 14,328
Wakuu hamjambo? Naomba kuwasilisha maada ifuatayo:
Wakuu nimepenyezewa taarifa ifuatayo ambayo imenifanya nitafakali sana dhidi ya hiki chama chetu cha Demokrasia na maendeleo.Habari kutoka jikoni zinadai kuwa kitendo cha Mh. Lissu kutangaza hadharani kuwa anayo nia ya kuwania urais kwa tiketi ya chama hicho,mwenyekiti na wenye chama hawakufurahishwa na kitendo hicho na hivyo kuna uwezekana Wa lissu kukatwa na tetesi zinadai kuwa Lissu baada ya kukatwa atatimkia ACT-WAZALENDO
Licha ya chama hiki kuandamwa na dhoruba la kukimbiwa na Makamanda wake kitendo hicho kinadhidi kukidhoofisha chama hicho kwani kunauwezekana Wa kukosa uwakilishi Bungeni kulingana na hali ya chama kukosa dhamira ya kumtetea Raia wa kipato cha chini kama ambavyo CCM inavyofanya
Huku hali ikizidi kuwa mbaya kwa Chadema,baadhi ya wabunge wao hawana matumaini ya kurejea mjengoni mwaka 2020 ndio maana wengine wameanza kuunga mkono juhudi za Mh. Rais Magufuli kwa namna Mpya,baadhi ya wabunge ambao wanapumlia mrija ni J.Mbilinyi,PR.j ,mwenyekiti Wa chama ndugu DJ.Mbowe nk.hali hii inakuja baada ya wanachi kuchoshwa na porojo za Chadema za kupinga kila Jema lifanywalo na Rais wetu kitendo ambacho kimewakera sana wapiga kura na hivyo kuanza kuona ni heri kuchagua Ccm ambayo inaonesha juhudi dhahiri katika kumtetea na kumletea maendeleo Mwanachi
Kwa maoni yangu ni heri chadema wajitokeze hadharani wakili kuwa Jembe letu Magufuli linapiga kazi ili kujinusuru kukinywea kikombe cha mateso Mwaka 2020,tofauti na hapo ruzuku kwa heri.
Sent using Jamii Forums mobile app