Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

Status
Not open for further replies.
Kwa Haya mambo ndugu Watanzania tunasemaje? MAMA BADO ANAUPIGA MWINGI?

NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.;

DAR - ARUSHA;

βˆšβ€’ Basi la kawaida 22,700/-.
βˆšβ€’ Semi luxury bus 32,800/-.
βˆšβ€’ Luxury bus 36,000/-

DAR - BABATI via ARUSHA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 29,000/-
βˆšβ€’ Semi luxury bus 41,800/-
βˆšβ€’ Luxury bus 45,900/-

DAR - BUKOBA via DODOMA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 55,100/-
βˆšβ€’ Semi luxury bus 77,300/-
βˆšβ€’ Luxury bus 85,000/-

DAR - DODOMA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 16,700/-
βˆšβ€’ Semi luxury bus 24,100/-
βˆšβ€’ Luxury bus 26,400/-

DAR - IRINGA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 18,300/-
βˆšβ€’ Semi luxury bus 26,300/-
βˆšβ€’ Luxury bus 28,900/-

DAR - KIGOMA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 58,800/-
βˆšβ€’ Semi luxury bus 80,900/-
βˆšβ€’ Luxury bus 88,900/-

DAR - LINDI;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 17,800/-
βˆšβ€’ Semi luxury bus 24,400/-
βˆšβ€’ Luxury bus 26,800/-

DAR - MBEYA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 30,700/=
βˆšβ€’ Semi luxury bus 44,300/=
βˆšβ€’ Luxury bus 48,700/=

DAR - MOROGORO;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 7,100/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 10,300/=
βˆšβ€’ Luxury bus 11,300/=

DAR - MOSHI;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 19,800/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 28,500/=,
βˆšβ€’ Luxury bus 31,300/=

DAR - MTWARA:
βˆšβ€’ Basi la kawaida 21,500/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 29,700/=,
βˆšβ€’ Luxury bus 32,600/=

DAR - MUSOMA kupitia DODOMA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 50,800/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 73,200/=,
βˆšβ€’ Luxury bus 80,500/=

BAR - MWANZA kupitia DODOMA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 42,600/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 61,400/=,
βˆšβ€’ Luxury bus 67,500/=

DAR - SHINYANGA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 36,600/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 52,700/=
βˆšβ€’ Luxury bus 57,900/=

DAR - SINGIDA kupitia DODOMA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 25,500/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 36,800/=,
βˆšβ€’ Luxury bus 40,400/=

DAR - SONGEA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 35,000/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 50,600/=,
βˆšβ€’ Luxury bus 55,500/=

DAR - SUMBAWANGA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 45,100/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 62,100/=,
βˆšβ€’ Luxury bus 68,200/=

DAR - TABORA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 39,000/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 54,700/=,
βˆšβ€’ Luxury bus 60,100/=

DAR - TANGA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 12,800/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 18,500/=,
βˆšβ€’ Luxury bus 20,300/=

DAR - KIBAHA;
βˆšβ€’ Basi la kawaida 1000/=,
βˆšβ€’ Semi luxury bus 1,500,
βˆšβ€’ Luxury bus 1,600/=
Anaupiga mwingi sana mama...
 
Not only has she failed, but also let's down. Anatuangusha sana hadi tumeanza kutamani katiba mpya na muungano bora zaidi ya huu

Ishu ya katiba iko pale pale.. huyu mama hana tatizo, washauri wake awaangalie kwa macho manne.. watamuangusha aonekane hafai.

Mungu amsimamie kwakweli
 
... Rais Samia anaweza kuwa na madhaifu yake lakini haina maana kwamba hana mazuri yake. Uhuru wa habari na watu kujieleza bila vitisho vya dola, haki za binadamu, kutodhulumu wengine kwa ghilba (matajiri), kujiepusha na uongo uliopitiliza (sijui hakuna Corona, mabeberu wanatuonea wivu, dona kantri, etc.) kwa faida za kisiasa, n.k. ni kati ya mazuri aliyoanza nayo japo anahitaji kuboresha zaidi na naamini atafanya hivyo. Kubwa zaidi linalomsubiri ni Katiba Mpya/Bora.

Kuhusu kodi na nauli; kuliko kuwadhulumu wachache kila mtu alipe kodi japo sio rafiki. Ikumbukwe Mh. Rais hakwenda Bungeni kusoma, kujadili, na kupitisha bajeti. Tatizo ni Bunge; limeshindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo. Kama Bunge (wawakilishi wa wananchi) wamepitisha bajeti kama ilivyo, Rais alaumiwe kwa lipi? Hebu mpeni nafasi jamani!
Umesema vema kiongozi, kodi tulipe wote na mama anakwenda vizuri ni suala tu la kumpa muda.
 
Ni vizuri sisi raia kuchangia pato la taifa, nchi iliharibika sana nakumbuka Tundu Lissu kwenye kampeni alisema Magu kaharibu sana uchumi wa nchi wa nchi hii na itachukua miaka mingi ku-reform hiyo damage. Basi tumuunge mkono mama mie binafsi nina furaha kulipa hayo makato ili mradi maendeleo yaje
 
Kuhusu kodi na nauli; kuliko kuwadhulumu wachache kila mtu alipe kodi japo sio rafiki. Ikumbukwe Mh. Rais hakwenda Bungeni kusoma, kujadili, na kupitisha bajeti. Tatizo ni Bunge; limeshindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo. Kama Bunge (wawakilishi wa wananchi) wamepitisha bajeti kama ilivyo, Rais alaumiwe kwa lipi? Hebu mpeni nafasi jamani!
Bunge si sehemu ya serikali, bajeti ilipelekwa bungeni na serikali, unadhani ni nani anapaswa kujua ugumu wa maisha kati ya bunge na serikali?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom