Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,037
- 2,839
Watumishi wa umma wanatumikia serikali moja ila kuna wenye mishahara mkubwa mno. Sifa za elimu zinalingana, job descriptions zinafanana ila wamezidiana mshahara kwa mbali; Waliopewa ruhusa ya kukusanya na kujilipa hawaichezei hiyo fursa.
Nendeni TPA, EWURA, TCAA, caa, SUMATRA, TCRA na wengineo halafu mlinganishe na walio serikali kuu.
Nyongeza za mwaka serikali kuu elfu 50, 60 (arithmetically) wengine exponentially. Hali hii inaumiza sana imepelekea wengine kumiliki maghorofa na range rovers wengine boda na bajaji, nyumba za kupanga uswahilini au kujenga mabondeni.
Naomba wahusika waondoe hii tofauti ili wote tuheshimiane.
Elimu na seniority izingatiwe..