Mpaka leo sijawahi kusikia uthibitisho wowote kuwa Serikali ndiyo inateka watu

Subiri babaako atekwe, halafu Polisi wakatae wachunguzi huru na huku wao wakiwa wametulia tu bila kufanya chochote.
 
Watu wameandika sana kuhusu Hilda Newton haya sasa amejitokeza na kuomba radhi.....nadhani awaombe radhi wale waliompost kuhusu kutekwa kwake huku hawajui taarifa zake....hizo series nadhani zifike mwisho sio kila jambo unadhani tu hata mtaalam wangu Chahali na wewe umeingia cha kike duuuuu.
 
Mpaka sasa sijaona uthibitisho wowote kuwa wote waliotekwa na kuachiwa au wale waliopotea moja kwa moja au hata waliokutwa wameuwawa kuwa mambo hayo yanafanywa na vitengo fulani fulani vya Serikali.

Hata walioachiwa baada ya kutekwa sijawahi kuwasikia wakisema kuwa waliowateka na watumishi wa Serikali kweli sijawahi kuwasikia.

Serikali imekuwa ikikemea vitendo hivyo nakumbuka hata wakati wa Dr Ulimboka alipookolewa akiwa mahututi katika msitu wa Mabwepande Rais wa awamu ya nne Dr Kikwete alisema waziwazi kuwa Serikali haijamtuma mtu yoyote kumteka na kumtesa Dr Ulimboka na kama kuna mtu amefanya hilo basi ni kwa utashi wake na Serikali haijamtuma yoyote kufanya hayo na kamwe haitatuma mtu kufanya hayo.

Sasa maswali ya kujiuliza tu ni kwanini wote waliowahi kutekwa kwanini wakiachiwa hawataki kusema ukweli nani amemteka na huko walikuwa wanaulizwa nini hiyo ingekuwa sababu ya kujua nini kinachoendelewa na kujua hata chanzo cha hayo matukio.

Kwa wao kukaa kimya haitasaidia kujua nani anawateka na haitajulikana kamwe na kwa kauli ya Dr Kikwete awamu ya nne ni kuwa Serikali haitumi mtu yoyote kumteka mtu na kumtesa kwasababu yoyote ile.

Ni muhimu kwa watanzania kutoa ushirikiano kwa vyombo husika kuhusu ushahidi wowote ule ili hawa watu wajulikane otherwise hawa watu hawatajulikana kamwe milele na milele na mtabaki kulalamika tu.
Your idiocy makes you blind to the facts..
 
Muulize Bashite atakupa ushahidi baada ya kutekwa Roma akahahidi atapatikana Jumapili. Na kweli akapatikana Jumapili.
 
Mbona hujampeleka mahakani ukamshtaki huyo unayemsema kama huo ndiyo ushahidi wako
 
Uthibitisho wa jambo la kihalifu unatakiwa uthibitishwe na serikali ambayo ndio inayotuhumiwa kuteka. Hapo wewe kwa akili yako utegemea utapata uthibitisho.
 
TUKIILAMU KILA KITU SERIKALI KANA KWAMBA HAO WATU WANAOTEKWA HAWANA MIGOGORO NA WATU WANGINE ITAKUWA HATARI ZAIDI. MAANA HIZO SHUTUMA KWA SERIKALI ZITAKUWA ZINAWAPA KINGA KUENDELEA KUFANYA UHALIFU WAO.
 
Back
Top Bottom