Mpaka leo sijajua kwanini watanzania walimchagua Magufuli!

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,863
Labda walichoka na ufisadi wakadhani atamaliza tatizo la ufisadi. Lakini je, mafisadi ni watumishi wa serikali au wanasiasa? Labda walidhani atainua uchumi, kwa mkakati upi? Kwa kujenga viwanda? aliwapa siku 30 waliotelekeza viwanda, alafu???

Labda watanzania walichukia umasikini. Sasa? kuondoa umasikini ni kuvunja nyumba za watu na kufukuza masikini mjini? Namaanisha omba omba na dada poa, au kufukuza wacheza pool wakati unapowapeleka wakalime hakuna ardhi???

Labda watanzania walichoshwa na zomea zomea bungeni. Hivi dawa ya zomea zomea bungeni ni kufungia bunge lisionekana? Labda watanzania walichoshwa na bei mbaya za bidhaa. Hivi dawa ya kushusha bei za bidhaa kama sukari ni kuzuia sukari toka nje?

Labda watanzania walichukia ukubwa wa serikali na matumizi makubwa serikalini. Sasa je? wakuu wa mikoa wamepungua? Ma-Dc je? mwenge? misafara ya viongozi? mashangingi?

Labda kuna waliodhani atabomoa mfumo wa chama tuanze na moja. Hivi hawa hawajakata tamaa? wamechelewa! Hussein Mwinyi, Nape, Binti ya Bulembo, Hapi, Pole Pole, January, Mpanju, Migiro etc wanafanya nini kati ya wateule wa rais?
 
Nadhani walichoshwa na kauli kama hizi;

IMG-20150723-WA0026.jpg
 
Labda walichoka na ufisadi wakadhani atamaliza tatizo la ufisadi. Lakini je, mafisadi ni watumishi wa serikali au wanasiasa? Labda walidhani atainua uchumi, kwa mkakati upi? Kwa kujenga viwanda? aliwapa siku 30 waliotelekeza viwanja, alafu???

Labda watanzania walichukia umasikini. Sasa? kuondoa umasikini ni kuvunja nyumba za watu na kufukuza masikini mjini? Namaanisha omba omba na dada poa, au kufukuza wacheza pool wakati unapowapeleka wakalime hakuna ardhi???

Labda watanzania walichoshwa na zomea zomea bungeni. Hivi dawa ya zomea zomea bungeni ni kufungia bunge lisionekana? Labda watanzania walichoshwa na bei mbaya za bidhaa. Hivi dawa ya kushusha bei za bidhaa kama sukari ni kuzuia sukari toka nje?

Labda watanzania walichukia ukubwa wa serikali na matumizi makubwa serikalini. Sasa je? wakuu wa mikoa wamepungua? Ma-Dc je? mwenge? misafara ya viongozi? mashangingi?
Huwezi kujua kwasabu ulomchagua hakupita mkuu...
 
Mimi nafikiri ni shida tu mkuu, hawkua na namna!
 
Waliomchagua wanajua kwa nini walimchagua, na wengi hawajuti kumchagua. Pole yako wewe, maana hata ambao hawkumchagua wapo wanaomuunga mkono
Kwa jitihada hizi hizi sio? Mkuu nipe hata outcomes za kutumbua majipu maana na mimi nimnyonge pia.
 
Sijawahi kuina post ya kilofa kama hii! Sijui alijaribu kutumia japo 1% ya akili kabla hujaandika? Kuna kazi kweli kuelimisha watu kama hawa!
Naomba kuelimishwa basi, kama unatoa maoni ya jumla namna hiyo hutakuwa na tofauti na unaosema wanapost kilofa
 
Mafisadi mapapa nchi hii ni serikali ya CCM..
iliyokula kiapo cha kutoachia nchi kwa watanzania wengine,wenye akili busara maarifa na wasiokurupuka !
je na huyu anaepigwa faini na mahakama kwa kukurupuka kwake na kusema halipi faini hiyo sio fisadi ?
 
Back
Top Bottom